Kapombe aumizwa na Bahanuzi, kuukosa mchezo wa kesho!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
3,456
4,222
Beki wa kisiki wa Simba, Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya JKT Orjoro ya Arusha kutokana na kuumizwa mguu na mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi katika mchezo uliochezwa usiku wa Jumatano iliyopita.

Wachezaji wengine wa Simba walio majeruhi ni Mrisho Ngassa na Haruna Shamte.

 
Back
Top Bottom