Kapigwa...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
373975_10150764531846983_741191982_11326533_1853998369_n.jpg
 
Hii imenisikitisha yaani kaharibika sura.Kama una habari zaidi,huyu amepigwa na mumewe,boyfriend,majambazi au vibaka?
 
Inaonekana kama kanywa bia za watu na Mchemsho akataka kusepa kimya kimya: Maana sura yake inaonyesha mtu wa kidunia (starehe) sana.
 
niliiona kny blog ya lindaikeji....ni mnaigeria kapigwa na mumewe nadhani...story yake sikuisoma mie habari za kutisha kama hivi sisomagi
 
niliiona kny blog ya lindaikeji....ni mnaigeria kapigwa na mumewe nadhani...story yake sikuisoma mie habari za kutisha kama hivi sisomagi

Mnaijeria gani! Mbona uyu wa hapa hapa? ----mag*d*r* ya ddma.---
 
Akachukue PF 3 kituo cha Polisi kwaajili ya matibabu. Oooopppsss! Inasikitisha sana lakini pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom