CCM kama kawaida yao wanachukua the best.
Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).
Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.
Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.
Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.
Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.
Ushauri kwa CHADEMA.
Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).
Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.