Kapenda nisipopenda

Jamer winner

Member
Aug 9, 2011
22
2
Jamani my funs just help me kuna dem nilimtongoza kwa kumtania but alikubali yani kaniganda kama ruba pili nikagundua kama ananizidi ums
 
hahaha! hapa uli-beep yeye kaamua kukupigia kabisa,umri nini bana kitandani mnakuwa umri sawa.
 
why is it okey mume kumzidi umri mke na sio vice versa? gender discrimination ee?
 
Dada angu ananizidi miaka mitatu naninamuamkia vipi kuhusu yeye harafu maumbile ya kike yanazeeka mapema Mnataka niishi na bibi
 
Jamani my funs just help me kuna dem nilimtongoza kwa kumtania but alikubali yani kaniganda kama ruba pili nikagundua kama ananizidi ums

Huyo Kakuheshim sana! kuna wengine ukitania sku ya pili unakuta amekuja na mabegi geto kuhamia.
 
<br />
<br />
hlf usikute kibabu kijitu kizima kiliruka steji.
Huwezi amini asilimia ya madomo zege imeongezeka mara dufu miaka hii,usikute hata wewe spanish lady na uzuri wako ulionao wanashindwa kuongea nawe wanaishia kwenda 'lipa kwanza'.
 
hiyo red imeanza lini? Uporoto kaongezewa mshahara nini?
Wanawake bana!
nakuonea huruma kamanda angalia location ya spanish lady imebadilika kuwa bongo darisalama hahaha! kajaa tele hapa home pita jioni ya kesho unywe chai ya tangawizi/hiliki/dalasini lol!
 
Back
Top Bottom