Kapata kazi, kaanza nyodo!

piga chini huyo keshaanza kumegwa na wengine huko ofisini, anza kumpotezea kabla hajakupotezea wewe
 
Mtose huyo kashaanza kushika hela nakuwa hana adabu si ajabu kuna kijamaa kinamzingua huko ofisini sasa anakosa heshima kwako.
 
demu wangu kapata kazi,kazi yenyewe nimemtafutia mimi
sasa nyodo zishaanza nimfanyeje?

Bibi na bwana wakigombana chukua jembe ukalime,wakipata chukua kapu ukavune.Siwezi kukwambia ukimbilie kumtosa kwa sababu this is one side story.Inawezekana kuna vitu vingine vimejificha kati yenu.Na hujatueleza kwa uwazi ni nyodo za aina gani na jitihada za aina gani umezichukua.Na kama kweli MNAPENDANA?
Sisi wanadamu tuna matatizo mengi ya kisaikolojia
 
Bibi na bwana wakigombana chukua jembe ukalime,wakipata chukua kapu ukavune.Siwezi kukwambia ukimbilie kumtosa kwa sababu this is one side story.Inawezekana kuna vitu vingine vimejificha kati yenu.Na hujatueleza kwa uwazi ni nyodo za aina gani na jitihada za aina gani umezichukua.Na kama kweli MNAPENDANA?
Sisi wanadamu tuna matatizo mengi ya kisaikolojia
Well said mamaa! inawezekana kabsaa jamaa ameanza kujifeel inferior. Aje hapa aseme ni nyodo zipi ili tujue pa kuanzia!! inawezekana jamaa alizoe kubipiwa ili apige sasa Demu anapiga kabsaa msela anaona nyodo hizi.Lol!
 
1.huna umuhimi tena kwake.
2.kuna jamaa ofisini wanakuzidi akili.
3.sasa ulitakaje?akupigie magoti kisa umempa kazi?
4.tenda wema nenda zako unangoja shukrani za nini?
5.kama kweli unampenda,fastafasta mwoe,kabla hujachelewa.
6.je wewe nawe angekutafutia kazi usingebadilika?.....au kuleta nyodo kama unavyodai?
 
Dawa ya mwanamke ni aendelee kuwa tegemezi ndio anashika adabu.

1.Unadhani wauza urembo,mchicha watamwacha?
2.Mwendeleze tu mwanamke,hayo mengine usilaumu au kufikiria,laumu uchaguzi wako mbovu.
3.unatakiwa kuwa makini unapochagua mke/mme/rafiki.
4.Wakati fulani fikiria ivi huyu? akiwa na milioni zake 30,zake mwenyewe atakuwaje?jibu utakalolipata lifanyie kazi.
 
mimi nadhani si vizuri kuhukumu huyo mwanamke kwani hatujui ni nyodo zipi na alikuaje kabla; waweza kuta ni kwamba tu anamwambia jamaa kwamba hahitaji tena pesa za urembo, au nauli na kwamba asimpitie kazini kwani anaweza kuja mwenyewe nk.

Mara nyingi tukuwa watoa misaada huwa tunataka tuabidiwe na hivyo kukwaza wenzetu, kwahiyo ndoto zao siku zote ni kujikomboa ili tuwe sawa, sasa hapo ndio utakuta tunaboreka kwasababu zile ibada za kuabudiwa zinapungua

it is very difficult kushauri kwa kusikiliza upande mmoja unless uweke assumptions fulani
 
Dawa ya mwanamke ni aendelee kuwa tegemezi ndio anashika adabu.
i find this statement very degrading and disrespectful to women!!!!

its all about understanding and respect rather than oppression and restrictions!
 
Bwanashampa nahisi kama nina solution, lakini hebu niambie huyo dada ni wa wapi?Maana kama ni mrusi -sahau uanze upya, ndio maana ya demu......nadhani unajua maana yake.
 
Back
Top Bottom