Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Jilaz tena? kumbe ushaacha ushaaacha chama cha inf.........?Thanks


Senks,ila mkoloni huyu bora wa kwanza.amenikamata kikweli kweli.Ila kunichakachua....kidogo tuu.

Ayaaaaaaaaaaa! Ishakula kwangu siyo? Umeona kwangu mambo siyawezi?
 
hahahaha. mkuu ACID nimekusoma. hommie lango lake la jiji ni njia panda himo pale
 
hahahaha. mkuu ACID nimekusoma. hommie lango lake la jiji ni njia panda himo pale
Haya mambo yanaanza kama utani mkuu, mara boooomm!! Hommie Asprin ndani ya lango la jiji akichakachua african modern taarab
 
Back
Top Bottom