Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Hivi kwenye hii sredi tunadiskasi nini hasa?​
 
Huyu babu/kijana kaharibika balaa....inabidi kuhawi asije akafikia kipimo cha beyond repair...
Wewe kila mara nakukumbusha kuwa sina undugu na wewe :doh::doh::doh::doh::doh:

atakuta barua ya kusimamishwa kazi..mwache aendelee na uhuni wake.
Katibu kusimamishwa kazi leo ni LAZIMA!:hippie::hippie::hippie::hippie:

sasa shida ndo inaanzia hapa.....

agenda hii ni ndefu na pana!mazingira haya hupelekea rule nr 3 kukiukwa
:nono::nono::nono::nono:
 
Leo asubuhi kwenye redio ya kabajaji, wakati nakuja kwa mkoloni:Haka kawimbo ka TOT kalinitafakarisha mengi sana:

Ooooh oooh *****,
Usilie na mimii mamaeee,
Mpenzi wako mimi sijamwita eeeh,,
Kaona mambo wewe huyawezi, ndipo kaja kwangu.....!

Yani mtu anakuchukulia kifaa chako afu anakupiga dongo "Kaona mambo wewe huyawezi, ndipo kaja kwangu".

Si kutafutiana ubaya na kesi za mauaji za bure mchana kweupe? Asprin hapendi, anawatakieni wikiendi njema.

Msisahau MALARIA HAIKUBALIKI..:israel::israel::israel:

hommia am counting...
 
Natamani kusoma katikati ya mistari hapo!!..............Ni hili hili la Mama Matesha wa siku zote au??

Sasa na wewe pia wamchakachua babu?

Halafu ndo nini unaingia chumbani kwa babu bila kubisha hodi?
 
safi hmie apo juu...una sbl mbili. mkumbushe katibu aje na katiba
 
Katibu tunampiga chini. Yale mashtaka yetu yale.

Ni mbinafsi kwenye rule # 3.

Kabaila. Bepari. Beberu.:doh::doh::doh:
 
Babu hii thread yako imenikumbusha mbali kwa kweli.........unajua hayo maneno ya hivyo husemwa sana kwenye taarabu au live lakini ni kina mama tu ambao huyatumia (Hata kwenye huu wimbo Babu nafikiri aliimba Pollin Zongo kama sikosei). Nikapata swali

Wanawake nasi tungekuwa kama wanaume wala kusingekuwa na matatizo. Lakini wanawake tukishachakachua na mume wa mtu, tunataka kuonyesha kwa mkewe kuwa twala sahani moj a na pengine upande wangu mie ni pilau kwa bi mkubwa na makande. So mtu anaanza vitimbwi hadi mwenye mume anagundua ndipo vuta nikuvute inapotokea ambapo huwezapelekea maneno haya.................Ila wanaume ah wanainfidelate na mke wa mtu......wanatunza siri (mwanaume hawezijitamba kumwonyesha mwenye mali kuwa wanakula sahani moja) na hata mume akigundua mwanaume infidelator huresort kuachia mzigo badala ya kulumbana na mume halali.......... Hebu ISC naomba msaada wa depo hapa .pengine mtatusaidia uswahilini kwetu tuwe na amani kwani tumechoshwa na taarabu za mafumbo ziumizazo masikio yetu na khanga za mafumbo kila siku ah.........
 
Angalau kajukuu umerudi kwenye mada.

Hii mijamaa iliichakachua sredi vibaya sana. Eti taarabu.... Taarab gani wakati ngoma tamu sana ya TOT band? BTW ushapata lunch?
 
Aksante Babu ila mbona anaagiza na katiba?? Mh nasikia harufu ya uchakachuaji hapa

Usiogope kajukuu.

Kwa Pope Kaizer sina mashaka. Ila Roya, Kimey na Teamo....Sina imani nao kiabisaaa. Wachakachuaji wakubwa tena malabuku zao.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Angalau kajukuu umerudi kwenye mada.

Hii mijamaa iliichakachua sredi vibaya sana. Eti taarabu.... Taarab gani wakati ngoma tamu sana ya TOT band? BTW ushapata lunch?
Hahahaha wewe umewapa ruhsa ya kuchakachua shauri yako wataku"NEC"
 
Usiogope kajukuu.

Kwa Pope Kaizer sina mashaka. Ila Roya, Kimey na Teamo....Sina imani nao kiabisaaa. Wachakachuaji wakubwa tena malabuku zao.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

IPC inasema hivi.....Kama Mambo huyawezi ISC, walete kwetu.....lol
 
safi hmie apo juu...una sbl mbili. mkumbushe katibu aje na katiba

Katiba ni sehemu ya maisha yangu....kama kingunge na katiba ya jembe na nyundo...
Katibu tunampiga chini. Yale mashtaka yetu yale.

Ni mbinafsi kwenye rule # 3.

Kabaila. Bepari. Beberu.:doh::doh::doh:

Andaa audited accounts kabisa....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom