Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Hahahahaha! Nyie walevi bana. Sio taarabu hiyo. Tatizo mmelemazwa na Malumbano ya Mabongo fleva....

Nimeharibikiwa siyo? Huko nyuma nilikuwaje huko nyuma?

hahahaaa... huku nilipo hakuna pombe mkuu, niko hijja!!!

mkuu tartiiibu ntakua nakuona traventine unapanga foleni kwenda kumuona mzee Yusuf... balaah gani hili wallahi
 
Hebu ngoja kwanza....hivi leo si ndio siku ya kukusulubu kwa popu???
Tatizo wewe ukiona mahali inapopaswa kufuata rule # 3, basi unajifanya kijana...argh:evil::evil::evil::evil:

ha ha ha ha ah!
minuted!
nadhani hii ndio agenda kuu

Nyie watu naona mnahitaji BAN la ODM big braza. Hizi taarifa zitafikishwa kwa Pope kwa hukumu ya leo.
 
Nyie watu naona mnahitaji BAN la ODM big braza. Hizi taarifa zitafikishwa kwa Pope kwa hukumu ya leo.
leo ndio leo!
nadhani kimey ameshaahidi kuja na lawyer wake,anasema hataki tena kuonewa
 
hahahaaa... huku nilipo hakuna pombe mkuu, niko hijja!!!

mkuu tartiiibu ntakua nakuona traventine unapanga foleni kwenda kumuona mzee Yusuf... balaah gani hili wallahi

Cant imagine ODM na kitambaa cheupe akienda kumtuza mzee yusuf...
 
:smile:hahaha naona wanaume mnachakachua wimbo wa taarabu leleleleleh kweli weekend imeanza
 
Roooiiiiii....generation Y, Athidi na Pana.oopppssss Athipilini mambo thenu

Nilitaarifiwa (kama katibu) kwamba ulikua na mpango wa kumpika The Finest kama pilau.....:doh::doh:...hujambo lakini?
 
HA HA HA HA HA!
hili likitokea mi nitaacha jf

hebu jenga picha....asprin kashika jero anaenda kutuza....basi anacheza kidogo na kuzunguzunguka....then anaibandika jero usoni kwa mzee yusufu....
 
:smile:hahaha naona wanaume mnachakachua wimbo wa taarabu leleleleleh kweli weekend imeanza

St. is in luv wit your signature...

People say there is no difference between COMPLETE & FINISHED....
But there is. When you marry the right one, you are COMPLETE....
And when you marry the wrong one, you are FINISHED.....
And when the right one catches you with the wrong one, you are...COMPLETELY FINISHED
--- FL1
 
hebu jenga picha....asprin kashika jero anaenda kutuza....basi anacheza kidogo na kuzunguzunguka....then anaibandika jero usoni kwa mzee yusufu....
ha ha ha ha ha!
''wananuna nikibebwaa miieeee nanikilishwa minooofuuuuuuu,......arambaaaaa arambaaaaaaaaa...'''
 
Back
Top Bottom