Kaolewa ila ananitaka nifanyeje?

Hahahahaha ........ ningekugongea mkuu! sema vidude vy senks hapa kwangu cvioni.

Hahahaha!!kweli kabisa mkuu yaweza kuwa mme wa huyo mke yumo humuhumu jf!!piga tu mkuu mke wa mtu sumu kitu gani bhana ila si geto unamaziwa???
 
Wanawake wana akili sana,yani wanajua kuwa wakitaka kumpata mwanaume kirahisi ni kuwaambia"mtoto mdogo ww,hauwezi mziki wng,mara me ngoma nzito utakimbia"!!! wanajua mwanaume ukimwambia hivo lazima amwoneshe shughuli ya kutosha.
Pigaaaaaaaaa
 
Hiko kiktu huwa ni kitamu kama usingizi wa jumatatu asubuhi.Usijaribu bwana mdogo kama una shida ya dem kasimame pale posta mpya wanapita wengi tu na wako single
 
Kamle tu.. wala hili halihitaji ushauri. Usisahau bullet proof na helment.. kwa usalama wako.
 
Back
Top Bottom