Kanunue WEMBE haraka!

M'bongo

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
265
298
Binti mmoja wa miaka tisa alikuwa kapanda juu ya mwembe
akiangua maembe, kijana mmoja jirani yao ambaye kahamia
mitaa hiyo hivi karibuni akawa akipita chini ya mwembe huo na
kumuona, akamtaka ashuke chini haraka. Yule binti akashuka
kwa woga, yule kijana akatoa noti ya shilingi elfu mbili na kumpa
yule binti huku akimweleza kwa upole: "Kanunue chupi haraka."
Binti akaenda kumsimulia dada yake mwenye umri wa miaka 20,
ambaye kesho yake akavizia mida ya yule kijana kurudi, naye akapanda
juu ya mwembe. Kama kawaida yule kijana akapita chini ya mwembe
na kumuona, akamtaka ashuke chini haraka. Dada mtu akashuka huku
akichekacheka kwa kujua kuwa kama mdogo wake alipata BUKU MBILI
kwake yeye itakuwa ni MWEKUNDU WA MSIMBAZI kabisa.
Yule kijana akatoa sarafu ya shilingi hamsini na kumwambia:
"Kanunune wembe haraka"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom