Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,919
- 31,161
Ukisusa wenzio wala siungi mkono ususiaji wa madiwani wa CHADEMA katika masuala muhimu nadhani dhani nzima ya ususiaji inakosa maana kabisa.Bejeti itagusa maeneo nyeti kama Hospital,elimu,ujenzi wa barabara na nk ukisusa maana yake shughuli zote hizo zisimamishwe kisa unataka nafasi ya umeya.
CHADEMA wananchi wanajua hila na ghiliba za uchaguzi wa Meya wa jiji la Arusha kususia sidhani kama ni jambo muhimu kwa wakati huu.Zipo mahakama kwanini hamataki kwenda huko.Shughuli za maendeleo lazima zienziwe na madiwani wote wa CHADEMA na CCM na vyama vingine vyote,Tanzania ni kubwa kuliko vyama vyenu.