Kanumba na ray

victorjane

Member
Dec 2, 2010
23
2
hivi jamani hivi wanavyofanya akina kanumba na ray ni movies au michezo ya kuigiza?mbona hawana mvuto kabisa?kuna siri gani juu ya wao kupewa airtime ya kutosha na media zetu?
 
My view kanumba anajitahidi kidogo...ila ray ndo zero katika acting! Wanapata airtime ya kutosha i guess kwasababu wao ndio wameliteka soko kwa ku release movie kibao kila wiki so wanaonekana sana and pia wana movie production company zao!
 
wana chemka sana kwenye movies zao yaani hawajui ku act halafu ndio wanaongoza kwa movies nyingi
 
Acheni wivu wa kike, Ray na Kanumba wanajitahidi sana. Wote mnaowananga mbona hamjaonekana hata kwenye movie moja ili tuone ujuzi wenu? Hivyo!!
 
acheni wivu wa kike, ray na kanumba wanajitahidi sana. Wote mnaowananga mbona hamjaonekana hata kwenye movie moja ili tuone ujuzi wenu? Hivyo!!
wewe yako iko wapi? Kwa hiyo ukikosoa lazima na wewe uwe na movie?? Acha hizo bwana
 
Kanumba and Ray: They are doing their best. Hapo ndio mwisho wa upeo wao. No wonder they are directors, story writers, stage managers and all those bull shit! I am of the opinion that they need best script witters and directors, to come up with good stories which will attract the audience. On the other hand, I blame Lucy Kiwele for airing the Tanzanian's movies on the DSTV without editing them!!!!!. How could she do it? Shame on her face!!!! Do you need a university degree to see that, what you are presenting is tarnishing our images? Kwa hili, Kiwele, shame on you and not on Kanumba, Ray and others! This is a big shame for Tanzanians!
 
jamani naombeni mnisaidie hapa kwani kanumba na ray ni movies/movie gani wametoa bila kunakili za watu toka nje....??? naombeni jina nikainunue halafu nitawaletea majibu...
 
One day watakuwa wakubwa, wanajitahidi, watieni moyo vijana, si mnajua kwamba ajira hakuna, kwani viwanda vyote waliuziana then wakafanya magodown, no place to work.
 
sio siri hawa jamaa wananikera sana! Wanaangalia sana hela kuliko kuifanya kazi ya uigizaji kiufundi zaidi! Wanaichukulia poa kazi ya uigizaji, wallahi wataishia hapo hapo! Ukitaka kujua fani hii ilivyo na thaman jaribu kutembelea www.nyfa.com(new york film academy) ndo utaona wenzetu wanavyojiandaa!
 
Back
Top Bottom