kanumba na chadema,vijana na chadema

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
habari nilizozisikia leo saa moja usk ni kkua,marehemu kanumba alikuwa anampango na cdm kugombea ubunge shinyanga,souce baba mzazi akihojiwa na radio wapo ,ktk kipindi cha patapata,na alikuwa anaungwa mkono na jamii yote,vijana wakike na wakiume,na wamama
 
R.I.P Kanumba,
"Kila tunapokabiliana na kifo na tufanye hivyo tena kwa ujasiri;na hasa tukitambua kwamba kilio chetu kimewafikia wengine na kwamba tukidondoka atatokea mwingine wa kuziokota Siraha zetu kuendeleza mapambano" che- atatokea kanumba mwingine kwa tiket ya CDM pale shinyanga
 
Back
Top Bottom