Ochu
JF-Expert Member
- May 13, 2008
- 975
- 47
Samaki mkunje angali mbichi
Samaki mkunje angali mbichi
Hahahaha! Hahahaha! LOL! Nimekumbuka enzi hizo dingi akiwa anapiga mtungi akatoka akaacha kabia mezani, nilikuwa naimendea kama fisi anavomendea mzoga. Na matokeo yake ndio haya!