Kanumba kuzindua filamu kigoma leo

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Muigizaji Maarufu hapa nchini Steve Kanumba leo anazindua filamu yake mpya katika ukumbi wa kizota uliopo mkoani Kigoma. Wadau wa sanaa hii mnaombwa mjitokeze kwa wingi sana katika kumuunga mkono msanii huyu
 
Kiingilio buku ngapi?
 
Back
Top Bottom