Kanumba, Dk Gharib na Riziwani Kikwete!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Nimo kwenye basi nasafiri, kuna sinema "Devil Kingdom" inaendelea na Msanii nguli na muandaaji wa filamu hiyo ni Steve Kanumba. Mwisho wa filamu Kanumba anawashukuru watu wengi kwa kusaidia kufanikisha filamu hiyo. Miongoni mwao ni Dr Moh'd Gharib (Makamu wa Rais?) na Riziwani Kikwete! Sina hakika, ni hao ndo wamempa Hummer na nyumba za kifahari ka kuandaa filamu au la.
Cha kujifunza ni kuwa ukitaka kufanikiwa kiulaini njia rahisi ni kujiunganisha na Mtandao wa Watawala; si tunaona kwa Clouds FM?
 
tehetehetehetehetehteheeheteheeeee bongo bwana job true true...:A S embarassed:
 
hhaaaa yaani mpaka makamu wa raisi yupo kwenye industry ya Bongo Moviez??
kweli Tanzania............
 
Anamshukuru kwa kutimiza baadhi ya sera za chama cha mapinduzi.
 
Nimo kwenye basi nasafiri, kuna sinema "Devil Kingdom" inaendelea na Msanii nguli na muandaaji wa filamu hiyo ni Steve Kanumba. Mwisho wa filamu Kanumba anawashukuru watu wengi kwa kusaidia kufanikisha filamu hiyo. Miongoni mwao ni Dr Moh'd Gharib (Makamu wa Rais?) na Riziwani Kikwete! Sina hakika, ni hao ndo wamempa Hummer na nyumba za kifahari ka kuandaa filamu au la.
Cha kujifunza ni kuwa ukitaka kufanikiwa kiulaini njia rahisi ni kujiunganisha na Mtandao wa Watawala; si tunaona kwa Clouds FM?

Huoni kanumba sasa ni staa ndani ya kampuni ya kifisadi ya startimes
 
kanumba asipoangalia atapoteza soko la kazi yake kwani wapenda mapinduzi ya uchumi tukiamua kuzichunia hizo kazi zake ataishia kung'aa nazo macho.
 
Labda walimsaidia kibinadamu tu na c kisiasa. Though wasanii baadhi ni vinara kujikomba ccm. Angalia Shigongo!
 
mnao mbeza acheni maneno ya kitoto,
hivi angemshukuru dr slaa, mbowe, lipumba na maalimu sefu mgesema hayooo...!!!???????????
 
Labda walimsaidia kibinadamu tu na c kisiasa. Though wasanii baadhi ni vinara kujikomba ccm. Angalia Shigongo!

Yawezeka mkuu, lakini umma unaweza kubeba tafsiri tofauti.
Nadhani Kanumba angewashukuru kibinafsi ingekuwa vema zaidi.
Hata hivyo ktk part 2 ameondoa Dk Gharib na ameweka Mr and Mrs ila Riziwani Kikwete limeendelea kama
lilivyotoka kwenye part 1.
 
bilionea ridhiwan lazima alitoa mahela ya kutosha,..halafu siangaliagi movie za kibongo kwa hiyo hata huyo kanimba simjui..
 
sasa na nyie si mtafute waigizaji wenu wa upinzani?

Unaamini kabisa kuwa Kanumba ni CCM? Amefuata fursa tu na kama akijitangaza yeye ni CDM huo mrija utakatika. Siku Wapinzani wakichukua nchi hata Clouds FM watabadili itikadi.
 
bongo movie imekuwa kichaka cha vijana wasiotaka shule na videmu vinavyouza sura,can't waste my time to buy it or watch it!
 
Back
Top Bottom