Kanitosa kwa sababu ya woga wa 'kuumizwa'

Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
635
337
Wadau nimetoswa na bintii niliyempenda na bado nampenda kwa sababu ya wasiwasi wake kwangu kwamba siku moja nikimkataa ataumia sana.
Huyu binti nilimtokea na mazungumzo yalienda vizuri,na nilimuakikishia kwamba mahusiano yangu na yake ni ya yeye awe mke wangu na si vinginevyo.Ghafla alianza kubadilika nikawa simuelewi namna anavyojibu,anajibu kimkato haoneshii kujali nikimuuliza kulikoni ananijibu yupo kawaida tu.
Baadae rafiki yangu akaniambia huyu binti alimfuata na kumwambia kuwa ananipenda sana kiasi kwamba siku nikimkataa anaweza kuchangikiwa
na kuumia sana,kwa hiyo ameamua anikatae mapema ili kuepusha maumivu ya baadae.Baada ya maelezo hayo nimechanganyikiwa hata sijui
nimwambie nini ili aniamini si mtu wa aina anayoifikiria.Nimebaki kuwa kimya nikiendelea kutafakari ipo sababu nyingine au ni hii hii.
Wadau nimeyaleta kwenu kama mnaweza kunishauri juu ya jambo hili.

wadau mawazo yenu yameniingia vizuri,ni kweli huenda kanitosa kiutu uzima ila angenitendea haki kwa kuniambia ukweli

wadau mawazo yenu yameniingia vizuri,ni kweli huenda kanitosa kiutu uzima ila angenitendea haki kwa kuniambia ukweli[/QUOT

Huyu msichana ana diplomasia ya hali ya juu,...suala ni kwamba hayuko tayari kuwa na mahusiano na wewe na vile vile hataki kukuumiza,....wewe achana nae,...utampata aliye umbwa kwa ajili yako hapa chini ya jua,....ila nimependa sana kibuti chake

Hiyo sababu yake aina maana ametafuta njia ya kukuacha

Sasa weye move on, huko aendako akishindwa atarudi kutumia excuse hiyo kujikava usinunue hata kidogo atakukimbia wewe au kukutia aibu

Najua ni ngumu sababu unampenda bado ila yeye hakupendi kwa hiyo usilazimishe.

Ila duh wasichana wa siku hizi akili mbele excuse yake inaangalia future na jinsi ya kuangukia kwako yakimshinda akiko sasa

Usionyeshe bintis unawapenda sanaaaaaaa kabla hujawajua kijana
Kuwa unabania mengine ya moyoni mwako

Duh, mshkaji basi alipokuja kuniambia alinieleza mengi..
actually mimi ndo nilimshauri akueleze hivyo ili hata ukiumia usijue sababu halisi ya kukutosa wewe mana kweli inauma...
piga moyo konde mshkaji wangu pamjoa sana!

Hilo linaitwa shambulio la kush2kiza,tafuta mwingne 2 meku.

Wadau nimetoswa na bintii niliyempenda na bado nampenda kwa sababu ya wasiwasi wake kwangu kwamba siku moja nikimkataa ataumia sana.

Huyu binti nilimtokea na mazungumzo yalienda vizuri,na nilimuakikishia kwamba mahusiano yangu na yake ni ya yeye awe mke wangu na si vinginevyo.Ghafla alianza kubadilika nikawa simuelewi namna anavyojibu,anajibu kimkato haoneshii kujali nikimuuliza kulikoni ananijibu yupo kawaida tu.

Baadae rafiki yangu akaniambia huyu binti alimfuata na kumwambia kuwa ananipenda sana kiasi kwamba siku nikimkataa anaweza kuchangikiwa

na kuumia sana,kwa hiyo ameamua anikatae mapema ili kuepusha maumivu ya baadae.Baada ya maelezo hayo nimechanganyikiwa hata sijui

nimwambie nini ili aniamini si mtu wa aina anayoifikiria.Nimebaki kuwa kimya nikiendelea kutafakari ipo sababu nyingine au ni hii hii.

Wadau nimeyaleta kwenu kama mnaweza kunishauri juu ya jambo hili.

Ni kazi kuwa na mtu dizain hii,kama kweli unajua kupenda utafikiria in "positive" way!

Duh, mshkaji basi alipokuja kuniambia alinieleza mengi..
actually mimi ndo nilimshauri akueleze hivyo ili hata ukiumia usijue sababu halisi ya kukutosa wewe mana kweli inauma...
piga moyo konde mshkaji wangu pamjoa sana!

MKUU,
yaani umeamua kumnyang'anya jamaa tonge??
Manake wewe ilikuwa weeks kadhaa nyuma ulipolialia humu JF,sasa kwa kuwa alikuja kukuomba ushauri juu ya jamaa ukaamua umalizie hasira???
....aliniambia eti umemwambia jamaa miyeyusho tu,anaishi stand halafu kijijini kwao ana mke aliyeandaliwa na wazazi wake,tena anatoka na Generoza yule jirani yao,ndo maana akamsagia jamaa na kuja kwako.

Halafu j2 ulikuwa unatoka nae wapi vile?? siyo fresh Mentor.

asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,nimeamua kukubali matokeo.Ntatafuta mwingine

...............Acha hizo,unakata tamaa asubuhi yote hiyoo,hata huja mdooooooo?? komaa mkuu inawezekana kuna jamaa(Mentor) anaku back bite,kwa hiyo usiache mwanya,we jifanye **** tu ili akivua tu chupi atakubali masharti, akileta zipi unase......................vinginevyo atakuona kweli ulikuwa hauko serious.

ndo ushauri wa wengi ndugu yangu,naweza lazimisha kupendwa nisipopendwa alafu nikaumia zaidi mbele ya safari

Back
Top Bottom