kanitosa kisa ni HANDSOME sana eti anaogopa kunyang'anywa....(kwa mabinti tu )

Preta na wenzako hebu mshaurini mwenzenu ananibania kisa nina vigezo vyote vya mwanaume anaevutia mtoto wa kike kwa KILA KITU nimemconvice sana mpaka naona kama namconfuse! Hajielewi,

japo umesema kwa mabint tu lakini wanaume tumeingia kukuweka sawa!

1.kwanza kwanini umetaka mabint tu wachangie hapa?kijana unaogopa wanaume?

2.ukijiangalia sura yako umefanana na mama yako au na baba yako?

3.jibu swali la msingi la kongosho hapo juu!
 
mwanaume anasifiwa hii mavitu sio usharopaka

383220_270819136293520_100000963067453_779752_302891921_n.jpg
mwambie baby sura akauze uarabuni huko
 
japo umesema kwa mabint tu lakini wanaume tumeingia kukuweka sawa!

1.kwanza kwanini umetaka mabint tu wachangie hapa?kijana unaogopa wanaume?

2.ukijiangalia sura yako umefanana na mama yako au na baba yako?

3.jibu swali la msingi la kongosho hapo juu!

Akijibu swali la Kongosho kiufasaha , leo hii mie nahama Jf, narudi Fcbk nilipobalehea! Maanake nilihamia hapa na balehe yangu mkononi.
 
Du u-handsome ktk uafrika hakuna km ni dume wataku-Du futa kauli yako maana ubbaenda ktk ushoga halafu Usharobaro wa kukatika Mauno kinyumenyume
 
Mwaya, mirindimo, rindima kijana, wanakuonea wivu hawa. Labda wana sura kama bata mzinga.

Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe, hebu niPM picha yako.

Swali la Msingi: Na wakaka wanakusifia wewe handsome?

hivi ww ni kichaa wa kulogwa au wa kuzaliwa?...duuh...nomaaa...sikutaka kutia neno kabisa kwenye hii sredi...u made it..!
 
Hata ingekuwa mie ningekukimbia! Mwanaume mrembo wa kazi gani??mwanaume anasifiwa kwa utanashati, hardworking na chapaa kwa kwenda mbele...uhandsome hauliwi eboh!
 
Kijana, hebu nambie hata machalii nao wanakusifia uzuri wako? Uzuri wa sura au umbile? Wanasemaje kuhusu makalio yako? Angalizo: wanawake hawakatai wanaume wazuri bali wanakataa wanaume wanaoutumia uzuri wao vibaya. Jirekebishe.
 
Mkuu! Basi jamani vimemtosha!
Naimani hatorudia mashauzi tena!
Maneno makali sana haya!
 
tatizo yeye akijishaua wewe unalegeza macho...huyo mwanamke ni aina ya wale wanaopenda wanaume wagumu.!!
 
Jamaa ni handsome anamakalio mazuri ya mviringo, kiuno chembamba na mwanya. Hehehehehe, dunia imeisha. Eti dume zima na sharubu zake 'mimi handsome'
 
Samahani, sirudii tena ...... Hivi kumbe si mimi niliyesema haya.

Jamaa ni handsome anamakalio mazuri ya mviringo, kiuno chembamba na mwanya. Hehehehehe, dunia imeisha. Eti dume zima na sharubu zake 'mimi handsome'
 
Back
Top Bottom