Kanisa Katoliki Ufilipino latoa waraka kuhusu Mafisadi

Hakuna Kanisa Katoliki Tanzania, Philipines, Italy au Germany.

Kanisa Katoliki ni Kanisa Katoliki tu.

Katekism ya kanisa Catholic inasema hivi:

The Church is One, Holy, Catholic, and Apostolic
ambayo kwa kiswahili inatafsiriwa hivi:
Kanisa ni moja takatifu, Katoliki la kitumeeee.

Vilevile lengo ni kuwakumbusha wale wapiga debe waliodhani nyaraka hizi ni jambo geni kwamba linafanyika nchi zote liliko kanisa Katoliki na huko hutawasikia wanapiga kelele zozote kwani hawana ugeni na nyaraka hizo.
Wala Kanisa Katoliki wasisubutu kufanya kitu kama hicho hapa kwetu TZ. Waliyofanya Phillipines au Ireland, ni huko huko, kwanza huko Katoliki ni wengi kuliko madhehebu mengine.
 
Wala Kanisa Katoliki wasisubutu kufanya kitu kama hicho hapa kwetu TZ. Waliyofanya Phillipines au Ireland, ni huko huko, kwanza huko Katoliki ni wengi kuliko madhehebu mengine.

Unawaambia wasithubutu wewe kama nani?

Na unataka wathubutu mara ngapi?
 
maana kuna thread zinaanzishwaga humu na heading kama KWA WANAWAKE TU, KWA WANAUME TU, KWA WANYAKYUSA TU NK,

NADHANI KWA MAELEZO YAKO HAPO KWENYE NYEKUNDU NI BORA MNGETUANDIKIA KWA WAKATOLIKI TU, WALA KUSINGEKUWA NA HAYA MANENO

Inaelekea huna hoja iliyotulia. Mara ya kwanza tulidhani hoja yako ni heading japo mwanzoni ulitakiwa uone kuwa mleta habari aliileta ili isomwe na baadhi humu kama zinavyoletwa umu habari za magazeti mengine kama NIPASHE. MTANZANIA nk. Hivyo hata hoja yako ya mwanzo haikuwa na msingi maana heading ni ya wenye gazeti na mleta hoja hakuwa na sababu kuibadilisha kwa sababu hoja na heading si vyake, na hata angeileta tofauti kama unavyotaka wewe wapo kama sisi tungemrekebisha kwamba heading ilitakiwa ibaki hivyohivyo kama alivyoisoma gazetini.

Kama wewe na wenzako mngemshinikiza aombe msamaha kwa misleading na akaomba, mimi ningejtokeza na kumuonyesha ni jinsi gani asivyotakiwa kuomba apology wala kuwaogopa wachangiaji kama wewe ambao hata gazeti huenda hawajalisoma.

Sasa umeona hoja yako ya mwanzo kuhusu heading kumbe tatizo lilikuwa kwako sasa unakuja na hoja zingine kutokana na watu wanavyo-present idea zao. Sasa unaibuka na hoja kwamba waandikiwe wakatoliki tu.

Ni kweli kwamba gazeti la TUMAINI LETU linasomwa na wakatoliki wengi kama ambavyo mimi sisomi kabisa gazeti la ANNUR ambalo ni la kiislam au ambavyo sisomi kabisa UTATU na ninajiamini nimefanya jambo sahihi kutoyasoma.

Hivyo TUMAINI LETU kusomwa na wakatoliki si jambo la kuonea aibu wala kufichaficha. Ni jambo la waziwazi, ni jambo la ukweli na asiyeupenda hana uwezo wa kuubadilisha.

Jambo linapoletwa humu JF si lazima kila mmoja na hata wewe ushiriki. Moderator wa JF anachofanya ni some sort of broadcast au kwa lugha nzuri tunasema ana multi-cast.

Sasa kama thread imekuwa broadcast na wewe ukajikuta huipendi fanya kama unavyofanya kwenye station za TV au Radio. Huipendi station fulani basi acha kuisikiliza au kuiangalia kisha u-tune kwenye unayopenda kwa raha zako.

JF ina utajiri wa thread, ruksa kuzisoma nyingi kadiri ya speed yako ya kusoma na kuelewa.
 
Back
Top Bottom