IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,384
No wonder
namfahamu ni mkurya wa rorya......aaaah!..no..wa tarime
No wonder
Katika Uchaguzi uliomuingiza Mkwere Madarakani Mwaka 2005, Kanisa katoriki lilijiingiza kwenye Siasa za uchaguzi Miguu yote miwili na kuwalazimisha Watanzania Wamchague Kikwete kwa sababu ni Chaguo la MUNGU. ni kutokana na nguvu ya UONGO huu ndio maana Kikwete aliingia madarakani kwa ushindi ambao yeye, chama chake na kanisa katoriki waliuita wa kishindo.
Yes, Kanisa katoriki limetufikisha hapa kama taifa, Kanisa Katoriki lilijua toka Mwanzo kwamba Kikwete sio chaguo la Mungu hasa Mungu ambaye habari zake zimeandikwa kwenye Biblia, kwamba yeye ndio THE AUTHOR wa habari zilizo andikwa mle, Mungu aliyeiandika Biblia ni Mungu wa Amani na Upendo, ni Mungu wa Haki, ni Mungu wa Utaratibu sio mafarakano na sintofahamu kama tunazofanyiwa leo na Kikwete.
Kama Mungu alishiriki katika uchaguzi wa Mwaka 2005, angeweka mtu ambaye hata kama leo angekuwa na viwango vya utendaji kama wa kikwete, basi watanzania wangekuwa na huzuni "kwamba Mbona kiongozi wetu amebadirika", Watanzania wangemlilia Mungu alimrudishe kiongozi wao katika mstari,na Mungu angetumia fursa ya Uchaguzi uliopita kumpiga chini.Ushahidi wa Mahusiano ya Mungu na Viongozi uko namna hii kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.
Katika Uchaguzi wa Mwaka 2005 na hata wa Mwaka 2010, Kikwete alitumia pesa za wizi katika Uchaguzi,
Aliiba Pesa BOT, Mwaka huu vivyo hivyo, mara zote mbili ametumia Uganga, Uchawi na Ushirikina katika Kampeni zake, Haya yote kanisa katoriki liliyajua toka Mwanzo, Kikwete alianza Majungu toka mwaka 1995 ambayo leo yanakisumbua chama cha mapinduzi utafikiri ni chama kinda,uovu ulitapakaa katika harakati zake zote za Urais. Haya Yote kanisa katoriki liliyajua.Je Mungu anaweza kuwa na ushirika na mtu kama huyu?
Kanisa katoriki halijawahi kuwaomba msamaha watanzania mpaka leo,halijawahi kubadilisha kauli yake mpaka leo, liko kimya kabisa, kipindi cha Kampeni za mwaka 2010 baadhi ya wananchi walihoji, Wapi mvuto wa Kimungu wa Mkwere? Kanisa halikutoa maelekezo. Bila Kanisa katoriki Kikwete asingeingia Madakani mwaka 2005, na wengi tulijua kwa haki ama kwa hila angeendelea kuwa madarani kwa miaka mitano zaidi.
Hapa tulipofika Kanisa Katoriki linahusika Moja kwa moja. KWA NINI KANISA KATORIKI LILITUDANGANYA?

c.r.a.pmkuu umesema ukweli mtupu kanisa katoliki ni wanafiki wa kutupwa mbona hawajampinga askofu wao kama ilikuwa personal? Ujue wakati huo walikuwa hawaitaki cuf!
Mkuu wametufikisha hapa hata kwa umaskini wetu kama taifa pia..kwa taarifa yako watumishi wengi serikalini (policy makers and implementers) kwa bahati mbaya ni wakatoliki sababu inajulikana mt.nyerere alikuwa na mission yake....
Hao watumishi kazi yao ni kusaidia kanisa (taasisi) na siyo watu wake (wananchi)..na wengi wao akili zao finyu kutokana na elimu ya kupendelea kanisani..so hawaleti impact yoyote japo wako wengi makazini ni janga la kitaifa kweli.