Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,436
- 25,577
Hebu mleta uzi weka habari yote iloyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi....ndo tujadili kichwa cha habari kinaweza kikawa na upotoshaji.
Kwa hiyo wakatoliki tutatoa maoni kama kundi baada ya kupata mwongozo toka kwa maaskofu? Vitu kama hivi ndivyo huleta chokochoko. Wenzetu wa upande wa pili nao wakitoa muongozo kwamba mahakama ya kadhi iingie kwenye katiba itakuwaje?
Najua maaskofu wameongelea tu hayo madaraka ya rais lakini hivi ni muhimu wao kutoa muongozo kwa waamini? Kwa nini tusiachiwe tutoe maoni yetu kama watu huru bila viongozi wetu wa kiroho kuingilia? Hayo yatakuwa ni maoni ya kanisa au maoni ya waamini?
mbona bado jk hawezi kujitoa kwa hili mkuu.kweli nyani haoni kundule, kunya anye kuku akinya bata kaharisha, ndo sasa nazidi kuamini hii misemo. ki ukweli udini upo wazi wazi kwenye nchi hii ya tanzania, je? wangesema wale wa upande wa pili ingekuwa reactiona za watu kama si kusengenya na kejeli, na post ingewekwa humu jf ingekuwa ishashambuliwa sana mpaka sasa! nazidi kuamini mfumo wa dini fulani kuiongoza na kutoa maamuzi kati hii nchi kweli upo, na ingekuwa upande wapili wametoa yao, humu ungesikia jk dhaifu kaupandikiza mwenyewe udini, duuh, tunaelekea kubayaM sana.
mbona bado jk hawezi kujitoa kwa hili mkuu.
Kanisa Katoliki lahoji madaraka ya Rais
LATOA MWONGOZO WA MAONI YA KATIBA, LATAKA ASITEUE MAJAJI, WABUNGE WAKUU WA MIKOA, ASHTAKIWE
KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limetoa mwongozo kwa waumini wake, likiwataka kushiriki mchakato wa kutoa maoni ya Katiba Mpya, huku likihoji madaraka makubwa aliyonayo Rais katika mambo mbalimbali.
Hivi ni wapi ulipoambiwa Kanisa katoliki linasikiliza na kuratibu maoni? Mwee jamani, tuwe tunasoma maelezo kwa utulivu na kutumia akili!chombo pekee kilichopewa mamlaka ya kusikiliza na kuratibu maoni ya katiba ni Tume ya mabadiliko ya katiba na ipo kisheria na sio kanisa katoliki,...
kanisa katoliki lahoji madaraka ya rais
latoa mwongozo wa maoni ya katiba, lataka asiteue majaji, wabunge wakuu wa mikoa, ashtakiwe
kanisa katoliki jimbo kuu la dar es salaam, limetoa mwongozo kwa waumini wake, likiwataka kushiriki mchakato wa kutoa maoni ya katiba mpya, huku likihoji madaraka makubwa aliyonayo rais katika mambo mbalimbali.
wale hawawezi kupiga kelele maana wamepewa urais wame prove mautumbo tupu