Kanisa hilo ..... Eeee MUngu awasaidie

Hahahahahahahahah,


Sasa wewe Smiling Saint utakuwa na matatizo makubwa sana...Yaani unajaribu kuunda timu ambayo hujui kama inacheza football, volleyball, basketball au tennis?

Babu DC!!

ni kama mtu ameingia kwenye geti la uwanja wa taifa... ndai kuna football, netball, volleybal na basketboli halafu ukaambiwa panga kikosi si ndio nikawakuta woooote ndani!!
 
Hata hivyo kiukweli mm ni mzee wa usharika kanisani kwetu. ila wapiga kengele umemsahau boflo. na mwalimu wa kwaya ya vijana ni ERICK52.
 
Loh.....
Nimekomaje....
Acha nikatafute handaki nijifiche....
Wasije kunikanumba buuuure.....


Inabidi uombe msamaha haraka wewe BADILI TABIA,

Umesahau kwamba hata mzee wa robot yuko kwenye hiyo list?

You have been warned and got not more than 30min to submit your apology!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ni kama mtu ameingia kwenye geti la uwanja wa taifa... ndai kuna football, netball, volleybal na basketboli halafu ukaambiwa panga kikosi si ndio nikawakuta woooote ndani!!

Kwa hiyo wewe hata wacheza tennis huwezi kuwajua kwa vivazi vyao na wale wa basketball kwa ubishororo wao?

Basi una hatari wewe!!

Babu DC!!
 
Loh.....
Nimekomaje....
Acha nikatafute handaki nijifiche....
Wasije kunikanumba buuuure.....



Wewe BADILI TABIA, wewe?

Nani alikwambia handaki ni kinga imara? Umewasahau akina Sadam Hussein na Lauren Bagbo walivyookotwa kwenye mashimo kama kuku anayeumwa mdondo?

Face it....omba msamaha yaishe!!

Babu DC!!
 
Nawahurumia waumini.....
Hivi wataruhusu mabinti na wake zao wasali huko?
Ukizingatia paroko na msaidizi wake mmmmm
mmmmmmh..... Kondoo watapotea....

Toka mwanzo ungekuwa unaongea hivi ningekuandalia zawadi....!!

Tatizo lako umeanza kwa kuwachafua watu wote kwenye list bila kujali kwamba wengine ndio akina Super Mods!!

Shauri lako??

Babu DC!!
 
Hata hivyo kiukweli mm ni mzee wa usharika kanisani kwetu. ila wapiga kengele umemsahau boflo. na mwalimu wa kwaya ya vijana ni ERICK52.

mmmh! erick mwalimu wa kwaya? Amyner anaimba sauti ya ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom