Kanipenda lakn simfahamu

Nipe namba yake kwa PM naona uoga umekuzidi nimalizane na anachokihitaji na aache kukusumbua
 
Fuata ushauri wa Mwendabure.Mimi ilinitokea vivo hivyo lakini baadaye nikagundua kwamba watu wenye matatizo ya depresssion kama huyo ni easily manipulated na hubadilisha msimamo wao haraka mno kwa sababu mood zao hubadilikabadilika ,hivyo unaweza kudhani umependwa nawe ukapenda lakini baadaye ukajuta.Si vizuri kumhurumia ,lakini mshauri kwa upole na msaidie apone maana kutokana na utaalamu wangu na situcion inaonesha bado ana shida. Cha msingi zaidi ni kwamba mara nyingi watu kama hao huwa na selfblaming ambayo hupelekea kuleta mawazo ya kujinyonga ,kwa hiyo the situacion is delicate and complicated,take care.
 
Back
Top Bottom