Kanipenda lakn simfahamu

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita, nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu.

Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatizo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake.

Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!
 
its not a totally mental health NN. ni luv thing ambayo inaweza kuishia kwenye psychiatric issuez
 
atakua kakupenda kweli au kakutamani like unamwonekano mzury...ila sasa bro, sio kila jani simba anakula
 
Semanae taratibu na usisitize msimamo wako kwa upole. Inawezekana asijekuwa mpenzi wako na badala yake akawa mshauri wako au wewe ukawa mshauri wake. Hasa ktk suala la mahusiano inaonyesha ameathirika kisaikolojia. Kama hafai kuwa mwenzi anafaa kuwa rafiki na ipo siku atakufaa japo kwa mawazo. Usimtenge nakuasa Mkuu...! Huwa inatokea-ga ktk maisha hasa ya ujana.
 
atakua kakupenda kweli au kakutamani like unamwonekano mzury...ila sasa bro, sio kila jani simba anakula
<br />
<br />
lakn c unajua mwanaume ukifuatwa kazi ipo! nimejitahidi kumwelezea kuhusu my girlfriend ananiambia hana shida na hilo ye anachohitaji ni kuwa na mm.
 
Je, ni kweli kwamba unae mpenzi kama ulivyomweleza? If yes, je mnapendana? Je, hakuna mtu mwingine ambae umevutiwa nae(unaemfukuzia)? Nenda kwa step aisee usije ukalikoroga buree!
 
Jambo liko wazi mwambie una mtu wako hata kama ana matatizo ya akili, ina maana tungekuwa tunawakubalia wenye matatizo kwa kuwaonea huruma si ingekuwa balaa kabisa hili
 
Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!

watu wengine mnasikitisha kwa hiyo ukitakwa kesho na wanawake 100 utaogopa kuwaambia ukweli sababu ya ulivyosema hapo. na wewe unaelekea hauna msimamo na maisha yako haswa labda huyo mpenzi wako haumtaki

ila umeshaambiwa tatizo la akili unataka uambiweje tena huyo rafiki lazima katumia njia ya kukuelezaq kuna DANGER as yeye hataki kuwa responsible kwa kutoa contacts kati yenu

utajijua

jiangalie kimapenzi usitie huruma usipopajua
 
thanks kwa ushauri,kuhusu kuwa na m2 ckumtania,nilimaanisha ila ndo hivo hataki kuelewa
 
Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!
<br />
<br />
kwani we baba huruma?
 
safisha nyota kama ndo first time kupendwa!watu hawashangai kupendwa bali wanashangaaa kuchukiwa....
 
Aaah we huna lolote...unataka tu uambiwe go ahead...km una mpnz wako na wampenda hayo masuala mengine ni ya nn.. Aah mapenzi ya vijana bana..
 
You must be crazy! una GF wako unampenda sasa unaona huruma kwa wale walioumizwa na wapenzi wao?
 
lakini kwa men kumbuka tunavyokazia kamba kwa m2 uliyemtokea akakwambia ninaye na wengine huwa wanapata depression kabisa.n for women just rmbr the hard time unapokuwa na mpz wako aafu kuna jamaa anakulilia na hakuelewi hata ukimwambia nimeshachumbiwa.its the same hardness am feeling,coz ningekuwa nataka go ahead ningekuwa nimeshamalizana naye bila kusema.how cud i handle this woman emotionally and psychologically?
 
Back
Top Bottom