Kanikimbia kisa sina hela.

EMMAN

Member
Sep 4, 2011
11
0
Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
 
Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
<br />
<br />
umeshajua kuwa mapenz yake ni hela. Kwahiyo tafuta pesa umfate. Hakuna njia nyingine.
 
acha maswali ya kipuuzi yan kusoma hujui hata picha tu kua huyu ni mbuzi au mbwa................kwan msichana yupo mmoja?
 
Hakukupenda wewe ndio uliempenda kwani anaependa kikweli hachoki kuvumilia na daima atakupa moyo.lakini usijali jitahidi kufanya kazi kwa bidi Inshallah mungu atakupa mwenye kheir na wewe.
 
Alichokifata kwako kimeisha sasa abaki ili iweje? No money no honey, hii ndo principle aloiapply kwenye mapenzi yenu, so hakufai huyo achana nae we endelea na maisha yako! Haina haja ya kumlilia mwanamke ambae bila pesa usingekua nae, its better kupambana na maisha yako kuliko kumuwaza huyo asiyekuwa na mapenzi ya dhati wala chembe ya huruma kwako. Sasa kama hujipendi, basi endelea kumnung'unikia uone ka hujabaki kilo mbili!!
 
Ahhh wanaume !!!!!
Sioni la kujadili hapa
Hapo hakukuwa na mapenzi period sasa wewe unaomba ushauri wa nini sasa
Tafuta mtu anayekupenda the way u r na sio what u have
 
unalia nini sasa tafuta pesa.anayechanganyikiwa huwa anaandika vizuri hivyo?...hebu ona ''k'' zako unavyozichonga
 
Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
<br />
<br />
tafuta pesa mkuu! Wewe huna pesa halafu unataka kuanzisha familia, wajua responsibility zinazoambatana na familia?

Au tafuta mwingine ambaye anaridhika na hali yako!
 
Atakula nini,atavaa nini?matanuzi hakuna so afanye nini?usichanganyikiwe tafuta pesa kwa hasira then mfate au utafute mwingi.pesa kwanza.
 
Mkuu mshukuru mungu kakufunulia mapema, piga moyo konde wapo wengi tu wenye maadili utawapata
 
Tafuta pesa kijana acha kulia lia,bila pesa utaishia kukimbiwa na kulia lia,tutaendelea kuchukua demu wako ha ha ha haaa,piga kaz,tafuta pesa kwa hasira,ataenda vip salon,kula vizuri etc kalagabaho....
 
Sometimes you love, learn, and then move on... and that's okay. Not all love is meant to be forever.
 
Back
Top Bottom