''Kanidanganya kwa nia nzuri''

<font size="4"><span style="font-family: franklin gothic medium">Sikuwepo muda flani hapa Jamvini kwa amani ya Bwana naamini wote hatujambo. Sasa wadau wa MMU mimi najaribu kuuliza hivi kuna wakati ni muhimu kusema uongo kwenye Mahusiano?. Nasema hv kwa sbb ni majuzi tu mkewangu kaniambia kuwa mshahara wake umepanda.Mwanzoni nilipomuuliza alikataa. Ananiambia kuwa alinidanganya mwanzoni kwa sbb alitaka kuona ninaweza kufanya nini ili ku'supplement' kipato chetu. Kwa hiyo anadai alinidanganya kwa nia nzuri.Hivi hii inaweza kuwa sawa..'Kudanganya kwa nia nzuri'.</span></font>
<br />
<br />
Inapobidi inabidi ubidi! Kudanganya kwa lengo zuri kupo na wengi tu huwa tunafanya hivyo. Kwa mfano huyo wako mi sidhani kama amefanya kosa labda kama angeamua kuuchuna hadi pale we mwenyewe utakapogundua, hiyo ndo ingekuwa mbaya.
 
kwa mm navyoona ni kwel umepanda, but kaja kugundua its not must kwa ww kujua koz no mata wot! utabaki kua kidume na wewe pesa yako ndo itatumika kuendesha nyumba, we piga chini maisha yanaenda..............
 
PT, kikubwa mwisho wa siku mna Amani na mkeo.....
Kweli alikudanganya kwa nia nzuri.... ingekuwa otherwise saiv tungekuwa tunajadili mengine hapa!
Kama alivyosema Asha D..... una mke mwema mkuu,
Sasa usionyeshe wenge coz next time akidanganya hatakwambia kuwa kadanganya!
 
ina maana ww hujawahi kusema uongo,na kama kaamua kusema ukweli bila kumlazimisha,huoni kama amebadilika na kagundua alifanya kosa,na angeamua kunyamaza,ww ungejua kama mshahara wake umepanda au vipi? Mi naona sio kosa kubwa kivile, hata ww sometime unaweza ombwa msaada fulani na mkeo unaweza jikuta unamjibu huna pesa wakati kwenye wallet zimejaa
Nimeipenda hiyo nyekundu, kwani Gaga mumeo ana wallet ngapi lol?
 
PT, kikubwa mwisho wa siku mna Amani na mkeo.....
Kweli alikudanganya kwa nia nzuri.... ingekuwa otherwise saiv tungekuwa tunajadili mengine hapa!
Kama alivyosema Asha D..... una mke mwema mkuu,
Sasa usionyeshe wenge coz next time akidanganya hatakwambia kuwa kadanganya!
Ahsante JG nashukuru kwa ushauri..
 
kwa mm navyoona ni kwel umepanda, but kaja kugundua its not must kwa ww kujua koz no mata wot! utabaki kua kidume na wewe pesa yako ndo itatumika kuendesha nyumba, we piga chini maisha yanaenda..............
Nimeipenda mkuu..
 
Uongo katika mapenzi ni vitu ambavo haviepukiki for tunajifunza about our lovers sometimes thrue lying.... Ila tu huo uongo usiwe ni wa kumuumiza mpenzi wako na wala usiwe ni wa kudumu... in the sense vitu vya kudanganya ni vile ambavo sio msingi saaana katika mahusiano - in other words yaani hata mwenzio hakitambua haiwezi kumuumiza. Naamini ukimpenda saana mpenzi wako hutaki aumie, hivo hutufanya sometimes kumuepusha hayo machungu udanganye walau ili tu awe na hali nzuri emotionally hasa kama unafahamu kua ni dhaifu...

Tukija katika suala lako... kama mkeo alikudanganya mara ya kwanza na saizi kaamua kukwambia ukweli - ni dhahiri kua alikua hana nia mbaya kama alivo jieleza... Mistake alofanya ni kukuambia kua alikudanganya it is better angekuambia kua sasa ndio umepanda. She seems to be a good wife labda tu anapima kua nguvu ya mumewe inafikia wapi hasa katika challenges.... Na kwa kweli in most cases uki lie kwa mpenzi wako inakua ni kwa nia nzuri - ili mradi huo uongo usizidi kipimo wala sio wa kuumiza.

Naweza onekana kama nafagilia uongo but trust me kuna situations you can just no tell the truth to your loved ones thou msingi mkubwa wa mahusiano ni Trust. Na ndio maana kama your love ones ana demand ukweli wa kitu ambacho kiko critical na haitajiki udanganye... it is beta kupotezea kuliko kudanganya - hapo unaharibu kila kitu!
Nimekusoma AD..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom