Kanichunia baada ya kumwambia namuhitaji awe mpenzi wangu.....

Pole tindikali,ila nawe sijui una nuksi gan,manake nimekuwa nikifutilia post zako za mahusiono yaani umekuwa ni mtu wa kukosa tu,a.k.a fungu la kukosa,duh mkuu inabid ujipange upya
 
Ulitaka na wewe akijibu kwa text message or face to face? Ipi bora?
 
Pole tindikali,ila nawe sijui una nuksi gan,manake nimekuwa nikifutilia post zako za mahusiono yaani umekuwa ni mtu wa kukosa tu,a.k.a fungu la kukosa,duh mkuu inabid ujipange upya

mkuu inabidi nijipime upya, sijui wapi huwa nakosea
 
mkuu hili nililitegemea, tena sijashangaa ila angesema hana mtu ndo ningeshangaa>>kuwahiwa nako mh, eti anadai kwanini sikumwambia miaka yote.

Sikutumi ukabomoe uhusiano wake!

Umemuuliza kuwa asingekuwa attached huko, wewe ungesimama katika nafasi gani naye?....................Wakati mwingine huwa ni kipimo cha how far you are ready to go!

Usivunje urafiki muonyeshe mapenzi..........na kama anakubali kutoka out japo once na wewe nikupe tumaini kuwa waweza kumpata!
 
Mkuu kwa nilivyomtazama, body language inaonesha kabisa anatamani kuwa na mimi, kwani kasema eti angalau nigesema mapema japo sijajua mapema ni ipi. Nitafanya ulivyonishauri, kwani home huwa anakuja na out anazikubali
 
Acha woga wewe, mtoto wa kiume lazima ujiamini. Umefanya upumbavu kumtumia sms kqa issue muhimu kama hiyo, ulipaswa kutafuta muda wa kutosha umtoe outing ya nguvu mnaenda sehemu tulivu then mnakaa na kuongea vizuri mkiwa mmetulia sehemu isiyo na bughudha then unaongea naye vizuri kwa kujiamini huku ukimtazama usoni.

afadhali umenena mkuu
awa wavulana wa facebook yani uwa sielewi sijui watakuweje apo badae,wanavimambo vya kitotooo na ujinga kweli ktk maswala siriaz hasa ya kuanzisha familia sijui wanafikiri ni movie?
nyoko kbs
 
kosa lako ni kutuma text !!!
ungemwambia live eye contact hii ingeonesha kuwa wewe ni strong na upo serious otherwise anakuona mwoga katika jambo la msingi kama hilo!!!
Pls usirudie tena kosa hilo..
 
Komaaa wewe'mtafute mpeleke konani mtie vocal"mkalie karibu usikae mbali,hakikisha hafurukuti mpaka atoe ulimi'hakikisha unamsaka j2 cku ambayo haina watu wengi sana'hakikisha unamkamata muda wa jioni jua limeshapoa hili asiwe anawaza jua linamchoma'piga simu ya kuomba kumuona.
 
Back
Top Bottom