Kaniambia niache, sintafanikiwa ...

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Juzi niliandika waraka kwa wana JF wote kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya na pia kuwamkumbusha machache kuhusu maisha na mienendo ya mahusiano ikiwemo inf ...!

Leo hii, kuna ndg kani-PM kunionya kuwa nisiandike tena mambo yanayohusu infidelity maana vita ya kupambana na infidelity ni ngumu kama kupambana na UFISADI na kamwe sintafanikiwa kama ambavyo siri-kali imeshindwa na ufisadi!

Swali langu ni hili, je kuna ubaya wwowote kuleta mada hizi zenye lengo la kujenga jamii yenye kuheshimiana kwenye mahusiano na kupunguza ugomvi wa kila siku wa kufumaniana na kuchomana visu? Kosa langu ni lipi hasa? Niweke jina lake hapa jukwaani?

Wenu ktk Majonzi,

HorsePower :whoo:
 
humu ndani watu wote wapo free kuandika wanachokiamini
na wewe be free pia
 
Juzi niliandika waraka kwa wana JF wote kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya na pia kuwamkumbusha machache kuhusu maisha na mienendo ya mahusiano ikiwemo inf ...!

Leo hii, kuna ndg kani-PM kunionya kuwa nisiandike tena mambo yanayohusu infidelity maana vita ya kupambana na infidelity ni ngumu kama kupambana na UFISADI na kamwe sintafanikiwa kama ambavyo siri-kali imeshindwa na ufisadi!

Swali langu ni hili, je kuna ubaya wwowote kuleta mada hizi zenye lengo la kujenga jamii yenye kuheshimiana kwenye mahusiano na kupunguza ugomvi wa kila siku wa kufumaniana na kuchomana visu? Kosa langu ni lipi hasa? Niweke jina lake hapa jukwaani?

Wenu ktk Majonzi,

HorsePower :whoo:
SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo

4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.
 
Horsepower, sometimes unabehave kama kindagaten.
Yaani PM tu ikastua sehemu zako?
 
Horse power, hii ni topic delicate saana hapa jamvini, na kama ni mshiriki mzuri wa MMU utajua hilo. Na kama walijua hilo na umeleta hii thread (inakua kama ni sort to deliberate umefanya hivo); Hii thread yako it is as if wataka wooote wakeleketwa waje hapa wabishane... Yaaana Wale watetea Fidelity na wale wapinga Fidelity.... Kwa wale ambao tulishiriki katika hio hurting, intense debate bado ipo raw in our minds, hivo wataka kujua Stand ya hao members Just Search "Majibu kwa The Boss (nyumba ndogo)" By Roulette and you will get all the answers pale....

Yawezekana una nia nzuri but maybe ukulifikiria vizuri as much as kila mmoja ana uhuru wa expressing one's self.
 
Hapa nimekubali kuwa vita hii ni ngumu kama ya kupambana na ufisadi!
 
Hapa nakiri nilikosea kupost thread hii, nimegusa interest za watu maskini mimi! Nani atanitetea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom