'KANGA MOKO' yatikisa BUNGENI!

Hivi hii ni Bunge kweli ama vipi?
Anayedhalilishwa hapo ni nani?
Kina dada wameamua kubuni njiia ambayo inawapatia rizki mnasema ni udhalilishaji,Serikali jipangeni bana,tuachieni raia tuyafurahishe macho yetu kwa maumbile mazuri ya dada zetu,M/mungu kawajaalia miili hiyo.Wewe kama hutaki kuangalia basi ipotezee nenda kaangalie vimbaumbau vyako vya kizungu.
VIVA KANGA MOKO
VIVA AFRIKA
ABAIXO BUNGE LA TZ.
Nalog off
 
Back
Top Bottom