Kanga moko ndembe ndembe!

Kuna siku nilimlia timing nikamkosa wkt wa kutoka sijui huwa wanatokea mlango wa nyuma?
hapana mkuu wanatokea mlango huu huu wetu sasa wewe akiwa anacheza peke yake mtuze vi elfu 5-10 kama mara mbili anakuwa ameshakukariri akitoka unamwita pembeni kwisha kazi,ukipitia kwa Gea utatumia hela nyingi.
 
Hahahaa!
Kanga moko laki si pesa, hapa tigo, k kwa mkeo!

mimi huyooooo......ngoja nikapambane na rejao kule igunga. Hapa naona mwenyewe ashakuja hapa.
 
.nashukuru kwa ufafanuzi...nkadhani ni mambo ya kuzamisha mchupa
Kwakuwa pale Maisha club ni karibu kwako unaonaje twende ukawaone kesho tena tumchukue na Gaijin naona kashangazwa na mambo hayo akaone kwa macho yake ?
 
wee acha kabisa nilienda pale week moja ilinibidi nirudi nikavae Jean inayobana sana maana ilikuwa balaaa watoto wamevaa khanga moja na hawana underware sasa unategemea nini wakati nyuma usafiri unaruhusu
 
nishapaelewa uliposema tu jirani yangu nikajua wapi,zamani kulikuwa kunajulikana kama Meridian Hotel au sio!
Mpaka sasa panaitwa Meridian walipunguza vyumba vya guest upande mmoja na kufanya club,hawa wamasai wamekamata jiji kwa sasa wana club moja Kurasini,moja tabata na moja Ilala,walianzia Arusha ambapo wanayo pia.
 
Asante kwa ushauri! lakini bado hujanisaidia, swali langu la msingi. nataka kujua ni kitu gani? Labda ninaweza kuyafanya, lakini si hadi niyajue!

Ni kanga moja unayovaa ukitoka bafuni kuoga huku imenata ndembe ndembe kwenye ngozi ya mwili wako! Nafikiri umesaidika
 
Mpaka sasa panaitwa Meridian walipunguza vyumba vya guest upande mmoja na kufanya club,hawa wamasai wamekamata jiji kwa sasa wana club moja Kurasini,moja tabata na moja Ilala,walianzia Arusha ambapo wanayo pia.
zitakuwa zinalipa ukiona hivyo.....nasisistiza nisiachwe maana mzuka ushapanda!
 
wee acha kabisa nilienda pale week moja ilinibidi nirudi nikavae Jean inayobana sana maana ilikuwa balaaa watoto wamevaa khanga moja na hawana underware sasa unategemea nini wakati nyuma usafiri unaruhusu
Ukikutwa na mauti hapo ndani basi umekufa kafiri !
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom