Kanga moko,iko wapi heshima ya mwanamke?

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,272
1,878
Taarab ya leo(post modern taarab) inamchora mwanamke katika nafasi hasi kuanzia"content",uchezaji,uimbaji, mavazi hadi matangazo. mwanamke anachorwa(potrayed)km malaya,anaegombania wanaume,anae vaa nusu uchi na kucheza kusiko na nidhamu.mbaya zaidi vyombo vya habari ndio vimeshika kidedea."NJOO UONE KANGA MOKO"hayo ndo matangazo.Je tunaiweka wapi thamani na heshima ya mwanamke?je tunawafunza nini mabinti zetu?je tunatengeneza kweli wanafamilia wema wa baadae?je vp kuhusu kuhamasisha ngono kunakopelekea kuenea kwa ukimwi?GEA HABIB na kundi lako mnatuharibia kizazi chema cha watanzania.muogopeni mungu,acheni tamaa ya pesa ya dunia.
 
dAH! hapo sielewi kitu. Ati Tigo, K Kwa mkeo?
WALAH TWAFA, TWAAFA!
 
Bahati mbaya natumia simu ya mtoto wa mvuvi,cna pcha.ila tunaweza kujadili zahma lile!duh!hakiyanani dada kavaa kanga 1 ndani haina kitu halafu imemwagiwa maji!toba!km c kujidhalilisha na kudhalilishwa ni nini?
 
Back
Top Bottom