Kandoro vs Lukuvi

Kama resoureces za nchi zingetumika vizuri basi ishu ya kwenda na madawati shuleni isingekuwepo. wanaotakiwa kupiga kelele kuhusu proportionate distribution of resources wakiwa kimya basi inabidi watu wapige kelele that is where JF comes in. The forum has a pivotal role.

Ngambo Ngali!
Haya ndiyo mambo ya Mkwere hata tuongee mpaka asubuhi huyu Rais hasikii wala haambiliki tutaendelea kuwaona akina Mkulo na Sophia simba mpaka waharibu nchi. KWANI mwashangaa lipi si bora hata huyu Kihiyo Billy Lukuvi ni kweli ni mwalimu wa shule ya msingi tena UPE the bottom line is what are the qualifications ya mtu kuwa Mkuu wa Mkoa haijawa defined anywhere na wala sijui why are we wasting our resources.
Nijuavyo mimi (I stand to be corrected )Mkuu wa mkoa alibadilishwa kutoka kuwa a Regional Adminstrator na kuwa Kada tu wa CCM it means any CCM fool qualifies to be an RC as long as anampendeza anayemteua na kumtii.You can't choose a smart guy isije ikawa ya Mrema na Mwinyi au Lowasa na Jakaya Mrisho Kikwete. Alipowateua akina Zakia Hamdani Meghji kuwa wabunge na kuwpa uwaziri tena wa Fedha that is when nilimtoa Kikwete kwenye akili yangu. Ushoga/uswahiba has never done any good in any Country mwacheni Mnyalukolo apete apate vijisenti vya kununua kura huko kwao next year. Hamjui kule Iringa CCM wanavyojizolea mikura nini that is part of the strategy.
 
MTM, kwa taarifa yako Mh. Kandoro ni msoma haswa na nondoz zake Uchumi alizipata mwaka 1976 pale UDSM.

MTM nadhani tatizo ni Mkwere maana yeye anapenda sana kuwabeba non performers. Lukuvi hana analolifanya. Huku kwetu Salasala mabanda barabarani yaliyo bomolewa na Kandoro yamerudi kwa kasi ya ajabu. Uchafu ndio usiseme. Pita mtaa wa Kongo uone maajabu.
 
Huyu bwana ni mwenyeketi wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Dar es salaam, hvyo nadhani mkuu wa kaya kamleta hapa Dar ili kuimalisha ulinzi kwake!
 
Lukuvi?...mwanamtandao, kwa ufupi ni kijana wa JK. Anachokifanya sasa ni nguvu nyingi kwenye kampeni za mwakani, sio kuongoza jiji..na JK kamleta ili amsaidie ku-push mambo yake kama sio kughushi kabisa ili mwakani aendelee kuvaa kaunda suti zake na vitenge/batik....mfano halisi ni kitendo cha yeye two/three weeks ago kwa vijana wa Maktaba kuomba apunguziwe/kufutiwa kodi ya COASTER ambayo alipoinunua huko nje ali-i-modify kuwa na hema/jukwaa lakampeni za uchaguzi mwakani...ndio vijana wa bro JK wanavyokula nchi.

Tangu lini jogoo wa shamba akawika mjini?
 
Back
Top Bottom