Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Diwani wa kata ya Tunduma na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi wamezuru eneo la soko lililoteketea vibaya kwa moto na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kwa wakazi wa Tunduma.