Kandambilimbili ametutoka RIP

Sote tumetoka kwa Mola mtukufu, Na kwake ndio marejeo yetu sote. Yeye katangulia, sisi tuko nyuma yake tutamfuata. RIP KANDAMBILI
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
'Surely we belong to Allah and to Him shall we return'
"Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Yeye sisi tutarejea."

 
Bwali Ametoa Bwana Ametwaa. Jina lake lihimidiwe.

Mungu aipe nguvu na faraja familia ya wafiwa.

Lipo tumaini la maisha bora baada ya maisha yetu ya dhiki duniani. Tumaini hilo ni kufuata mapenzi ya Mungu na kuishi maisha ya kumpendeza yeye.
 
Back
Top Bottom