Kandambili za Guest House

Jamani, naruhusiwa kucheka au?.....basi ngoja niage kipemba,"mie nenda vyangu"!
 
Hahahahahaha! Sasa kwani wewe unaogopa kujitekenya? Osha na brashi kuondoa dead cells ambazo zinaweza kufuga bacteria.kama vipi muambie memsahib msuguane miguu afu mitekenyo iwe mitekenyo,lol

Serious ye haikuwa kazi kufanya hiyo no 4..
Mi nimejaribu nimeshindwa... Maybe I need a professional counselling King'asti...
 
ni hizo guest house unazoenda wewe ndo unakuta ndala za mtindo huo
tafuta guest house ambazo ni standard hutakuta ndala tofauti
 
Back
Top Bottom