Kanda ya Ziwa, naja kwenu...

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Wakuu mlio Mwanza, Kagera na Mara, nitakuwa maeneo haya karibuni. Ningependa kuonana na walio tayari ili tubadilishane mawazo na kusikia kutoka kwenu. Baada ya safari hii nitaelekea Mbeya na Ruvuma.

Hii ni kuweza kuonana na wadau wa JF na kubadilishana nao mawazo, kuwasaidia wenye kuhitaji msaada (kiufundi) na zaidi kuweza kufahamiana na kushauriana namna ya kuipeleka JF kwenye hatua nyingine.
 
Maxence karibu saana... naamini nitakuepo moja ya maeneo ulotaja

and God Willing mambo/shughuli kama zitaruhusu inshallah tutaonana....

Nakuombea wepesi katika safari zako zoote...
 
Mmoja wa watu nnaotamani kuonana nao na kubadilishana nao mawazo NI WEWE.

Bado namtafuta na mkuu VoiceOfReason... You know why :)

Because he is Voice of Reason! Kajaa hekima.
Mkuu,

Nina ziara ya pande hizo (kwako) pia. Na lengo ni hilohilo, baada ya ziara hizi naamini tutakuwa katika ukurasa mwingine.

Nitakufahamisha a month before.
 
Mmoja wa watu nnaotamani kuonana nao na kubadilishana nao mawazo NI WEWE.

Bado namtafuta na mkuu VoiceOfReason... You know why :)

Dah! Hii post Maxence.... i am deeply humbled... na i feel the same way..

at least una mambo unataka tubadilishane mawazo... mimi nina maswali

chungu nzima...lol.. but yoote I believe yako ndani ya uwezo wako...

Namkubali saana VoR... He is one of the JF members i mostly respect hasa inputs....
 
Wakuu mlio Mwanza, Kagera na Mara, nitakuwa maeneo haya karibuni. Ningependa kuonana na walio tayari ili tubadilishane mawazo na kusikia kutoka kwenu. Baada ya safari hii nitaelekea Mbeya na Ruvuma.

Hii ni kuweza kuonana na wadau wa JF na kubadilishana nao mawazo, kuwasaidia wenye kuhitaji msaada (kiufundi) na zaidi kuweza kufahamiana na kushauriana namna ya kuipeleka JF kwenye hatua nyingine.
Sorry Maxence Melo, inawezekana mimi nilikuwa passed by events, hivi uliwahi kuonana na wadau wa JF wa Dar, kufahamina na kushauriana kuipeleka kwenye hatua nyingine?, au ndio unaanzia mbali, umalizie karibu?.
 
Kwa Dar hatujawahi kupanga kukutana. Tumekuwa tukikutana na wadau katika mazingira ya kawaida na kwenye events za kijamii, itabidi tuandae mkutano mmoja wa pamoja ambapo nasisitiza, ID za JF hazina umuhimu kusemwa labda mtu afanye hivyo kwa hiari yake.

All we need ni maoni ya wadau na kuyaweka kwny utekelezaji.

Nilipokutana na wadau huko Arusha tuliyoongelea asilimia kubwa (over 80%) yameshafanyiwa kazi na huenda ndiyo yametufikisha hapa
 
mkuu kwa mwendo huo lazima tufanikiwe na hii ni kwa sababu tunaipenda nchi yetu na huu mtandao unatoa kiwango kikubwa cha mawasiliano baina yetu watanzagiza ni hayo tu kaka mkubwa max..
 
Mkuu haina mbaya,ninakuomba saanaa tena saana wakati unaenda Ruvuma pitia Iringa basi tuongee bwana.
 
Karibu sana Mkuu Max,
Umetusikia, Utatufikia.
Alipozaliwa Kambarage Pananihusu. Tunatumikia Wanainji
Nitafurahi kukusalimu.
 
Wakuu mlio Mwanza, Kagera na Mara, nitakuwa maeneo haya karibuni. Ningependa kuonana na walio tayari ili tubadilishane mawazo na kusikia kutoka kwenu. Baada ya safari hii nitaelekea Mbeya na Ruvuma.

Hii ni kuweza kuonana na wadau wa JF na kubadilishana nao mawazo, kuwasaidia wenye kuhitaji msaada (kiufundi) na zaidi kuweza kufahamiana na kushauriana namna ya kuipeleka JF kwenye hatua nyingine.
Safari njema boss! Mimi ni maombi tu juu yako kila utakapoingia Mungu akutangulie siku zamu ikiwa yetu mi nitakukaribisha.
 
Walimu wa shule za serikali wanadai kuwa serikali ikishindwa kuwalipa madai yao watagoma.Je walimu wanao uwezo wakuishinikiza serikali iwalipe madai yao???Kwangu mimi siamini kama wanaweza kufanya kitu hicho.
 
Mkuu haina mbaya,ninakuomba saanaa tena saana wakati unaenda Ruvuma pitia Iringa basi tuongee bwana.
Sawa mkuu wangu, nikianza safari nitaandika hapahapa JF ili watu wafahamu kuwa naelekea pande zao.

Karibu sana Mkuu Max,
Umetusikia, Utatufikia.
Alipozaliwa Kambarage Pananihusu. Tunatumikia Wanainji
Nitafurahi kukusalimu.
Shukrani mkuu, tutakutana Mkendo :)
 
Back
Top Bottom