Kanali mstaafu machibya na shamba la mfano.

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Mkuu wa mkoa wa Kigoma,amesema kila kiongozi mkoani humo kuwa na shamba la mfano.








My take:Tanzania nzima viongozi wote wakiwa na mashamba ya mfano,hii nchi itapiga hatua sana badala kila kiongozi kujilimbikizia hela benki na majumba na mapori badala ya mashamba na kulima.


Source:TBC1
 
Back
Top Bottom