Kamwambukiza mkewe gono, anaogopa kumwambia akatibiwe

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Katika rabsha za hapa na pale jamaa kalikwaa gono kwa nyumba ndogo. Baada ya siku kadhaa maumivu makali, kaenda hospital kaambiwa ana gono. Kapewa ma-antibayotik, kapona but siku chache baadae ikarud kama awali. Kagundua kuwa nyumba ndogo nayo inalo, but haipat maumivu, kamwambia kweli, demu kakubali kutibiwa. Baadae jamaa kaumwa tena, na sasa kagundua gonjwa lipo kwa wife. Wife alishamhisi na kumuuliza juu ya mahusiano nje ya ndoa jamaa kagoma vibaya sana. Sasa kasheshe linakuwa amwambieje mkewe? Maana mke haonyeshi dalili lakini kila jamaa akila antibayotiki akapona, akilamba asali kwa mkewe gonjwa linarudi.

Anajiuliza kuwa aanze vipi kuanza kumueleza mkewe wameambukizwa gono, ili mkewe atumie dawa?

Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Amwambie tu kwani hakuna namna ya kutoka hapo...siku ya 40 ishatimia.

Mficha maradhi mauti itamuumbua, Jamaa amwambie tu mkewe,
Au amwambie waende kufanya check-up halafu wakutane noyo huko huko
ila ajitahidi kumuandaa kisaikolojia kabla ya kwenda hospt

Akubali tuu kuwa mambo yashaharibika na aende kupimwa na akishapimwa ukweli ujulikane
Ila ajiandae kumwambi amkewe kuwa kweli limepatikana kwa kuruka ruka kwake nje
Ila ni so bad kwa huyo mkewe kama hatembei nje

Hiyo ndio faida ya mechi za mchangani (ndondo), mshauri watibiwe kama infection ktk njia ya mkojo,

Na ajue madhara ya kwenda pekupeku sio kila menchi unacheza bila sox kuna sehemu nyingine zina miiiba

Mwambie akapime na ngoma kabisa. Afu hiyo nyumbandogo ameiacha au anaendelea. Kama hajaukwaa ajue Mungu anampenda na ametaka kumpa second chance.

au ni wewe unasingizia jamaa?ni vizuri huyo mke aambiwe kwani inaweza ikamuharibia uzazi wa mwanamke.ni ugonjwa ambao ni vizuri utibiwe haraka iwezekanavyo.

Asimwambie kwanza wacha augue ugue, siku huo mtalimbo utakapokatika au atakapoambiwa kuwa hatazaa tena ndo atajua umuhimu wake

Upendo wake kwa mkewe ulishatoweka toka pale alipoamua kusaliti ndoa na sasa kaamua kutompenda zaidi kwa kumkawiza kumpeleka kwenye matibabu, gonjwa hilo likidumu sana litaharibu kabisa furaha ya ndoa yake, mshauri avunje ukimya na azungumze na mkewe ili kuinusuru ndoa na asipendelee ulimbukeni na tamaa vilivyomfanya aonekane muasi.

yaani sipati picha hili gonjwa sijui linafananaje, Mungu pitishia mbali...nenda tu mkatibiwe unavyomwacha linazidi kumla na wewe linaporudi linaathiri mishipa ya uume tibiweni haraka kama mwoga nenda kwa doc unaemjua maybe anaweza okoa jahazi kwa kumwambia ana UTI

Katika rabsha za hapa na pale jamaa kalikwaa gono kwa nyumba ndogo. Baada ya siku kadhaa maumivu makali, kaenda hospital kaambiwa ana gono. Kapewa ma-antibayotik, kapona but siku chache baadae ikarud kama awali. Kagundua kuwa nyumba ndogo nayo inalo, but haipat maumivu, kamwambia kweli, demu kakubali kutibiwa. Baadae jamaa kaumwa tena, na sasa kagundua gonjwa lipo kwa wife. Wife alishamhisi na kumuuliza juu ya mahusiano nje ya ndoa jamaa kagoma vibaya sana. Sasa kasheshe linakuwa amwambieje mkewe? Maana mke haonyeshi dalili lakini kila jamaa akila antibayotiki akapona, akilamba asali kwa mkewe gonjwa linarudi.

Anajiuliza kuwa aanze vipi kuanza kumueleza mkewe wameambukizwa gono, ili mkewe atumie dawa?

Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Huyo jamaa yako ni katika watu wa lile kundi la wajinga.

Asimwambie kwanza wacha augue ugue, siku huo mtalimbo utakapokatika au atakapoambiwa kuwa hatazaa tena ndo atajua umuhimu wake

Naona hujaelewa topic unaelekea kama unataka mke ndiye aadhibiwe! Kwa kosa gani? Ebu soma vizuri hii mada.

yaani sipati picha hili gonjwa sijui linafananaje, Mungu pitishia mbali...nenda tu mkatibiwe unavyomwacha linazidi kumla na wewe linaporudi linaathiri mishipa ya uume tibiweni haraka kama mwoga nenda kwa doc unaemjua maybe anaweza okoa jahazi kwa kumwambia ana UTI

Yaani Shantel kama ulikuwepo vile, maana ingawa nillitoa stori half. but ndivyo jamaa alivyomaliza mchezo. Alienda pharmacy, kanunu ma anti-bayotic ya kutosha (kama alivyoshauriwa na Dr wake), then karud home kamwambia wife kuwa amepima (alishamwambia kuwa ana maumivu chini ya kitovu), na kakutwa ana UTI, so kashauriwa dawa watumie wote. Mke kakubali, kanywa dawa gonjwa likaisha, na jamaa anasema kuanzia hapo aliipiga nyumba ndogo chini...

Back
Top Bottom