Kamsemo kapya kameibuka kwenye Sensa

Jana nimewangoja karibu siku nzima ile nimetoka kwenda kuchek Man city na Liverpool, kumbe wamepita home na mlango nilikua nimefunga. Cha ajabu Geti limepigwa tik na chaki.
 
Mimi niko safarini na kwangu sijaacha mtu. Naikosa sensa bila kupenda.

nyie ndo mnaharibu kalkulesheni.....ona sasa....hatutabalansi kwa style hii.....ungejitahidi uhesabiwe ule usiku wa kuamkia sensa kama mimi.....
 
Kuna mzee hapa kwetu kakasirika sana kisa, makarani wa sensa wamemwuliza umeoa wakati yeye ni IMPOTENCE?
 
Back
Top Bottom