Kamsemo kapya kameibuka kwenye Sensa

Wamepita kwetu cha ajabu sijawaona na sare maalum kama ilivyotangazwa! Hapo ndo serikali dhaifu inapoonekana!

Inawezekana ufisadi umefanyika maana nami nawaona wanapita bila sare kama ilivyotangazwa ktk media, wakija kwangu nawaambia wakavae sare kwanza.
 
Tunakoelekea ni kubaya sana....itafikia wakati dini itahusishwa hata na kupiga kura..."Hatupigi kura sababu mgombea si ......dini yangu"nani ametufikisha hapa?
 
mimi nimehasabiwa asubuhi na mapema kabla hata sijaenda church...
wana maswahi hao...

ooh una punda?...ngamia?...plau?...maksai?...una watoto wa nje?...wangap?...wamekufa wangapi kwa kaya hii mwaka huu...?oh kuna mataahira ktk ukoo wenu...je watu wenye matatizo ya uti wa mgongo....

aaaaarrrrggghhh!..yana lundo la maswali hayana hata LINK...

Ohooo BAGAH mi nnao watoto wa kusingiziwa..mwingine nlimuacha nairobi wakati nasoma..wengine labda leo usiku anaeza tungwa...au watarajiwao hawahesabiwi ata kama una uhakika??!
 
Last edited by a moderator:
kuweni na subira, sensa ni siku saba, kila karan ana eneo lake ambalo anatakiwa alimalize ndan ya hizo siku. So kama hujahesabiwa leo kuna kesho pia
 

...ninayo ya mkaa ya umeme niliamua kuiuza kutokana na umeme wa kutoaminika :)

Hah hah! BAK honestly wewe umehesabiwa lakini itabidi urudiwe ... umejieleza .. wakati hapo jibu lilikuwa ... ndio au hapana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom