Chigwiye misi
Member
- May 31, 2012
- 74
- 41
Mkuu uko sawa sana, sasa kinachofanya nchi ijue kuwa kwa sasa tunahitaji kiasi fulani cha fedha kutosha kwenye mzunguko kwa wakati huo ni nini?Mkuu kuna njia sita za kuamua kushusha au kupandisha thamani ya fedha na pia zipo mpaka njia za kimafia za kupandisha au kushusha kama nilivyo sema hapo mwanzo kuwa ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi na pia thamani ya kitu chochote uamuliwa na nguvu ya soko sasa nikujibu kwa nn nilisema kuwa ku print print fedha bila ya sababu za msingi ni kubaya na pia kunachangia kushuka kwa thamani ya fedha
mfano Leo tukiamua ku print tuu fedha inamaana mzunguko wa fedha utakuwa mkubwa so kutapelekea mfumuko wa bei (differentials in inflation) kama nilivyo sema thamani ya fedha uamuliwa na nguvu ya soko so wafanyabishara watapandisha vitu bei na wananchi mtaona poa tu kwa sababu mnazo fedha mifukoni ebu fikilia Leo unanunua unga kilo sh elf 5 au sukari kilo sh elfu 10 Hv hapo kunaitaji degree kujua fedha yetu imeshuka thamani? ???