Kampuni za Simu na Siri zetu

Jamani

Leo katika mambo mengine kuna mtu aliniuliza niko wapi nikamwambia akawa anabisha katika huo ubishi akaenda kwa jamaa zake wa kampuni za simu kuchunguza akaambiwa ukweli kuhusu eneo nililokwepo huko kwenye kampuni za simu

Sasa bado nina wasi wasi na kampuni hizi za simu kuhusu utendaji wao na mamlaka waliyonayo mpaka kuamua kutoa siri za wateja wao popote walipo bila idhini ya mteja mwenyewe na bila mpango wowote ule

Nimesikitika sana kwa kitendo hichi na nimehuzunika sana kwa suala hili

YAANI PAMOJA NA KUTUMIA MAMBO YOTE HAYA WANATOA SIRI ZETU NA MAMBO YETU MENGINE KWA WATU WENGINE AMBAO HATA HAYAWAHUSU KIVIPI ? KWA MPANGO GANI ??

Please tuambie ni Kambuni gani hiyo ..ili tumalizane nayo moja kwa moja.
 
Jamani

Leo katika mambo mengine kuna mtu aliniuliza niko wapi nikamwambia akawa anabisha katika huo ubishi akaenda kwa jamaa zake wa kampuni za simu kuchunguza akaambiwa ukweli kuhusu eneo nililokwepo huko kwenye kampuni za simu

Sasa bado nina wasi wasi na kampuni hizi za simu kuhusu utendaji wao na mamlaka waliyonayo mpaka kuamua kutoa siri za wateja wao popote walipo bila idhini ya mteja mwenyewe na bila mpango wowote ule

Nimesikitika sana kwa kitendo hichi na nimehuzunika sana kwa suala hili

YAANI PAMOJA NA KUTUMIA MAMBO YOTE HAYA WANATOA SIRI ZETU NA MAMBO YETU MENGINE KWA WATU WENGINE AMBAO HATA HAYAWAHUSU KIVIPI ? KWA MPANGO GANI ??

Please tuambie ni Kampuni gani hiyo ..ili tumalizane nayo moja kwa moja.
 
Text messages zinaweza kuwa diverged bongo, at a price.

Hubby akiwa na kimwa mama mwenye nyumba anaweza kuongea na wakuu wakawa wanamfowardia messages zote anazotuma hubby.

Yes!!! Kuna mama mwenye chake aliamua kufanya hivyo akapata print out ya sms zote za mumuwe akaleta lundo home. Unaambiwa mume alitambaa akalazimika kusema a to z. Kuanzia sikue ile mume na namba ya simu aliachana nayo na kukata mawasiliano na wale vichuguu hadi leo ndoa shwari. Tena na simu turned out to be a shared commodity among them. Wakati ule jamaa hata akiingia wash room na cm kiunoni, kuoga nayo au anazima anaficha, kuchaji ni ofisini. Mama mwenye chake akamkomesha. Mume alimbembeleza mke kwa kila hali maana ilikuwa sms za aibu, so vizawadi, mara a business partner akabadili memorandum ya biashara kabla hajamuoa ikabidi awe naye ni one of the directors, gari mpya pee ya kutumbelea na nyingine ya biashara!!!! Du mama mwenye chake alisahau yote!!!! Eti inawezekana kusahau au tena ndo kuvumilia????? Kweli ndoa ni ndoana!!! I try to put my self into his/her shoes!!! Mh patamu hapo!!!!
 
Hapa nafikiri huenda mhusika ni mwajiriwa wa kampuni husika/ndugu/rafiki/kuna ukarabu fulani kiasi kwamba aki-request kitu anahudumiwa au fedha inafanya kazi yake hapo.
Hata hivyo,Good move kwa kuwajulisha TCRA,halafu kupata mwanasheria kwa hatua nyingine za kuhakikisha nidhamu inakuwepo.
 
Wakati mwingine kama haujui jinsi technolojia zinavyofanya kazi bora uache tu kuandika, kuliko kuandika utalaam wa vijiweni.

Ubarikiwe sana kaka/dada. Kama wewe unazifahamu kuliko mimi hapa ungeiweka hapa ili kuwasaidia wengine na mimi kufahamu na kuacha kunitukana. Huna busara kabisa. Hongera.
 
Shy this is a blessing is disguise atleast some ladies will be able to track their hubbies .. tena zip up guys .. your days are numbered .. usisikitike sana infact tupe jina la kampuni ... i will make them my best friends no woman will ever lose track of the husband
 
Naima, are you thinking of tracking your hubby? why?
 
Not mine .. just helping out .. ama .. wangu hanipi shida .. he is kaput .. yani kwisha khabari yake

hahahahahaaaaaa, Naima you are soooo funny. Okay.

I will never track him (ma hubby), ni kuonyesha kutokujiamini.
 
Not mine .. just helping out .. ama .. wangu hanipi shida .. he is kaput .. yani kwisha khabari yake

Haswa. keep it up Nai. Basi washamba watasema umemlimbwata. Kumbe mh limbwata kila mwanamke anayo, ufundi tu wa kuuitumia. Haihitaji Kalimanjila au majimarefu.
 
Pole Shy. Hapo ndipo nami ninapata shida kuhusu employment ethics, confidentiality is of the highest priority katika hali zote. Unajua kwa sababu ya njaa za baadhi ya watumishi wakipewa vijisenti kidogo tu wanatoa siri. Basi Shy kwa Tz mtu akitaka kupata mawasiliano ya mume au mke pale ambapo mmojawapo anahisi kuna ufirauni kati yao basi ni kuwapa pesa tu wafanyakazi wa coy za simu, wata print mawasiliano yako yote na utaumbuka kikweli hasa.

Kwa upande wa kujua sehemu uliko wanatumia tu freguency na wavelength zao na wanajua kabisa unakaaa wapi. Kule kwenye mitambo kuna geography yote ambapo mitambo yao inaweza kuruka(inaonekana katika satellite). Pia hata katika internet is not safe. Hata hapa ninapoandika ni kuwa wakitaka kuni tress watanipata thru satellite. Hata hivyo siogopi kwa kuwa nafahamu I speak out the truth na anayekerwa anitafute tu. No security katika mitandao at all!!!!

Usiwe paranoid hivyo, cool down.

Wanaweza kujua tu upo karibu na mnara gani wa simu. Na hata akijua upo km 1 kutoka mnara fulani, nadhani hiyo haitoshi kumwambia nyumba yako iko wapi kwa sababu unaweza ukawa km 1 kaskazini ya mnara, ama km 1 kusini kwa mnara huo. Kujua mtu yupo wapi kwa usahihi ni complex kidogo zaidi, na unahitaji data za minara mitatu au zaidi iliyokaribu nawe, na sidhani kama wanayo hiyo application inayofanya hiyo shuguli, niko tayari kusahihishwa.

All in all, sio sawa information kama hizo kuweza kupatikana na mtu yoyote kirahisi hivyo. Na pengine tuepuke kuongea uongo pia :)

Jinsi ulivyoiweka hiyo ya kuku-tress ukiwa cafe kwenye internet na kutumia satelite inafanyika kirahisi hivyo kwenye movies tu, usiwe na wasiwasi hivyo. Security ipo sana tu kwenye internet, more so ukiwa unajua unachokifanya.
 
Text messages zinaweza kuwa diverged bongo, at a price.

Hubby akiwa na kimwa mama mwenye nyumba anaweza kuongea na wakuu wakawa wanamfowardia messages zote anazotuma hubby.

Yes!!! Kuna mama mwenye chake aliamua kufanya hivyo akapata print out ya sms zote za mumuwe akaleta lundo home. Unaambiwa mume alitambaa akalazimika kusema a to z. Kuanzia sikue ile mume na namba ya simu aliachana nayo na kukata mawasiliano na wale vichuguu hadi leo ndoa shwari. Tena na simu turned out to be a shared commodity among them. Wakati ule jamaa hata akiingia wash room na cm kiunoni, kuoga nayo au anazima anaficha, kuchaji ni ofisini. Mama mwenye chake akamkomesha. Mume alimbembeleza mke kwa kila hali maana ilikuwa sms za aibu, so vizawadi, mara a business partner akabadili memorandum ya biashara kabla hajamuoa ikabidi awe naye ni one of the directors, gari mpya pee ya kutumbelea na nyingine ya biashara!!!! Du mama mwenye chake alisahau yote!!!! Eti inawezekana kusahau au tena ndo kuvumilia????? Kweli ndoa ni ndoana!!! I try to put my self into his/her shoes!!! Mh patamu hapo!!!!

Kuna ka-software ka simu kanaitwa SMS Salama:
SMS Salama - Introduction - SMS Salama | Google Groups

Kwa wanaodhani sms zao ni za muhimu sana kiasi hicho, pengine mwaweza kujaribu hako ka-software, kanaweza kakaokoa. :)
 
Nimeshapeleka email kwa watu wanaohusika na mawasiliano katika tume yao naamini watanijibu kwa sasa natafuta kuweza kuonana na mwanasheria ili kuweze kumweleza jambo hili muhimu sana naamini katika vyombo vya sheria tutaweza kupata suluhisho la tabia hii chafu

hili jambo limenishitua sana na kunisikitisha sana sijawahi kuwa na siku chungu kama leo hii katika maisha yangu

Mkuu Shy kwani ulikuwa wapi mpaka usikitike kiasi hicho?? kama kuna mtu alikupigia simu na ukamueleza upo ubungo nae akazoza na control room wakamueleza kuwa upo ubungo sioni kama kuna taabu kiasi cha kusikitika kiwango hicho. Japokuwa suala la hawa jamaa wa haya makampuni kutoa taarifa kwa third parties linabakia kuwa ni la kupingwa kwa nguvu zote.
 
Naunga mkono kuwa siri za wateja lazima zindwe na sheria zipo...niliwahi kusikia jamaa kibao wametimuliwa kazi huko makampuni simu kwa kutoa siri za wateja...inakuwa summary dismiss..ukilalamika kuwa una wasi na mtu ana cheZea no yako wanaweza kujua nani alifanya nn kwenye no gani...na hatua kali dhidi mfanyakazi zinachukuliwa...namjua dada mmoja alishawahi kufukuzwa kwa style hiyo.....
 
Shy this is a blessing is disguise atleast some ladies will be able to track their hubbies .. tena zip up guys .. your days are numbered .. usisikitike sana infact tupe jina la kampuni ... i will make them my best friends no woman will ever lose track of the husband

Samahani lugha za watu... NO WOMAN or NO WIFE ?
 
Wakati mwingine kama haujui jinsi technolojia zinavyofanya kazi bora uache tu kuandika, kuliko kuandika utalaam wa vijiweni.
Tueleze mkulu basi teknolojia inavyofanya kazi ,kwani tulishabuy hayo maelezo ya Mkulu Maane on the same.
Sisi wengine TEKE LINALOKUJIA hatulifahamu vizuri.
Pl do the needful.
 
Samahani lugha za watu... NO WOMAN or NO WIFE ?

eeeeeeeh dont worry guy .. i havent left you out .. kwani who wants a boyfriend kiruka njia .. sasa kama its a woman or wife upanga ni ule ule .. u are covered baby.
 
Back
Top Bottom