Kampuni za ndege vipi?

msabato masalia

Senior Member
Dec 3, 2008
118
20
Waungwana baada ya kupiga boxi la maana,nataka kutia timu maskani,tabu kupata ticket ya ndege hata bei imekuwa tatizo.Air tanzania,wanasema website under construction,precision air,hakuna sehemu wanapoonyesha bei,unafanya booking hakuna sehemu ya kujua utalipa kiasi gani. full kuandika mission and vision. Mwenye kujua bei,go and return Dar-Bukoba naomba anijulishe kabla hii pesa watu hawanipiga mzinga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom