- Thread starter
- #21
Dakika tano imekua siku sheikhe vipi
Mbona nilishaweka picha ya hiyo sauna yake ilipo hapo juu?
haya nakuwekeeni tena....ukiingia ndani ya hilo jengo nenda mpaka mwisho kwenye kona utakuta SAUNA iliyojengwa kwa thamani ya zaidi ya dola laki 3