Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

tunajua madudu mengi ya huyo mama na pesa ndio ilimfanya amuone mumewe hafai.......mengine tunamezea sana ukitutibua tunamwaga mambo hadharani hata kama utamtetea.


wewe weka vitu humu mambo ya kumezea yamesababisha watu wafe

siku aki resign kutoka kwenye public office ndio tutamwacha kwani atakuwa ni private citizen
 
lakini pia tusisahu kuwa:

Idara za procurements katika irada za wizara zote anazopita blandina huwa anakuwa influence ya ajabu

Mfano wizara ya Afya, wizara ambayo inatakiwa na matumizi makini ya fedha lakini huyu mama hakuona taabu kupitisha bajeti ya ya zaidi ya bilioni 6 kwa ajili ya maonyesho ya 77 na 88

Mfano mdogo mmoja ni STAFF UNIFORMS ambazo mama Nyoni alilazimisha wizra ya afya kuwanunulia washiriki wapatao 1,000 suti jozi 6,ambazo thamani yake ni BILIONI 3..................!

GUESS WHO SUPPLIES HIZO NGUO?

Yap you guessed it.......ni lile dula la MARIEDO BOUTIQUE ambao wao wanachokifanya ni kununua nguo kutoka China lakini wanaandika lebo za UK.

Jiulizeni kwa nini Mariedo hawakuwahi ku supply suti BENKI KUUU enzi za LIUMBA?


Sasa kumbukeni kuwa hizo BILIONI 3 zingenunua vitanda vingapi kwenye hospitali za wilaya ngapi Tanzania?

jibu ni rahisi.....tungeweza kununua vitanda 3,000 kwa bei ya shilingi 1,000 kwa kila kitanda! shemeji,wifi,wake ,mama,shangazi zetu wasingekuwa wanajifungulia chini sakafuni kama ilivyo sana lakini Blandina hayo yooote kwake sio muhimu...muhim MARIEDO wapewe tenda za staff Uniforms!

btw

I just wanna point out kuwa duka la huyu mama la Mariedo pamoja na kusupply vitu FEKI lakini pia tazameni mikataba yake ni endelevu kwenye kila idara ya serikali so unakuta Mariedo lina contract ya miaka mpaka 3 hata kama wanaleta bidhaa ambazo ni hafifu!

Now Mzee Luhanjo hayupo tena na as it is MTOTO WA MKULIMA hawezi kuendelea kumlinda huyu mama....at some point itabidi ajiuzulu nyadhifa zote inluding kule WAMA ambako aliingizwa na PHILEMON LUHANJO.................!

In short waingereza wanasema kuwa HER POSITION IS UNTENABLE

leteni data na kuhusiana na softtech maana kuna mtu alidai humu kuwa huyu mama ana share zake pale na yeye ndiye aliyefanikisha softech kuiuzia serikali intergrated financial management system moja iitwayo EPICOR,ambayo mpaka sasa hivi serikali inatumia na softtech pamoja na kuiuzia serikali pia wana tender ya kusimamia hiyo system
 
Kwa kweli japo umeomba thread iachwe lakini ina hadhi kabisa ya kufutwa!, unaongea kama vile umekamatwa ugoni. huleti hoja ikaeleweka wala huoneshi ukweli wa kile unachokisema. Kwa wale wanaomfaham Blandina Nyoni utendaji wake wa kazi ni Kiongozi makini sana na ni mwepesi wa kusikiliza na kutoa uamuzi haraka na sahihi. Najua ujio wake wizara ya afya ulitokana na kutokuelewana kati yake na huyo Ludovic utouh katika hoja za ukaguzi. pia najua kwamba baada ya kuingia aliziba mianya mingi sana ya wizi wa fedha kupitia kule msd, kwenye tafiti feki za maralia na katika miradi mingi feki iliyokua ikifanyika kabla.

Sawa, huo unaweza kuwa ni mtamo wangu tu na jinsi nivyomfaham. Tuje katika hoja zako, Mama nyoni aliingiza mfumo wa ASYCUDA akiwa kama nani na alisababisha hasara au aliiba kiasi gani cha fedha?,

utaratibu wa manunuzi ya umma ni kwamba tenda zinatangazwa na makampuni yanaomba, sasa kama mariedo wanapewa halafu wakileta bidhaa zinakaguliwa na kuthibitishwa ni sawa, mariedo wana kosa gani?, huoni kama ni chuku binafsi za Utouh kuishambulia Mariedo wakati anajua watendaji walionunua?

Katika hoja ya tenda za chakula hujataja kampuni yake ni ipi na inafanya ufisadi gani. kwa ujumla naona we una chuki tu binafsi kwa sababu mama anafanya biashara zinenda vizuri na kazi zake pia au amegusa maslahi yako sehemu flani. Leta hoja tuijadili acha majungu.

Mama nyoni alikua mhasibu mkuu wa serikali kabla luhanjo hajawa katibu kiongozi, amekua na nyadhifa nyingi tu kabla luhanjo hajawa hapo alipo, sasa kutoka nae kijiji kimoja ndio hoja gani?. Jadili mtu kutokana na anafanya nini sio anatoka wapi?

Mwisho kama una ulilokua umelificha lilete hapa ili uzi wako uwe na maana, vinginevyo haya ni majungu tu!


Bado una msimamo wako huu? Kama ni ndugu yako, sasa kitumbua kinaelekea kuota majani...
 
LIES! ASYCUDA is a Customs system in TRA supplied and supported by UNCTAD to the Tanzania Government. It is prevalent in many countries under the same arrangement. Secondly Luhanjo anatoka Wanging'ombe, Blandina anatoka Ilembula. Check your facts!
 
Kama hii serikali kweli ingekua inapambana na ufisadi kiukweli kweli kabisa basi kuna watu wangekua jela ,huyu mama akiwemo
 
Back
Top Bottom