Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

Kuna dalili ya habari ya kisiasa! ni mtiririko wa maneno tu yasiyo na ushahidi wala chanzo muhimu, Wt ndiyo tunajua kuwa El ni sehemu ya mafisadi wakubwa tz, lakini kwanini Mkweeere hatajwi kwani yeye na mwanae R1 wanautajiri unavunja rekodi ya wenye pesa tz? Wana malori yakutisha yanayo kwenda Rwanda,Kongo,Burundi na wameweka majina ya watu wengine kabisa. R1 ameingiza nchini magari ya kifahari kwanjia za panya kule tanga bila kulipa ushuru hata senti moja, na magari haya tunaushahidi wakutosha kuwa dogo anafanya biznes na baadhi ya marais wengi tu barani Afrika mf: rais wa Guine,rais wa Kongo,King Mswati nk Swali ni je dogo anakampuni ya uuzaji wa magari tena ya kifahari? analipako? mtaji kaupata wapi? WOTE HAWA NI WEZI WA LASILIMALI ZA TAIFA HILI!

We una ushahidi na hayo uyasemayo? kweli JF imekuwa kijiwe cha gahawa! Unapokuja na alegetions kubwa kama hizo weka ushahidi tosha (japo wa mazingira:eg, ni makampuni gani wanamiliki, yameandikishwa kwa majina gani na connection kati ya wanaoshikilia kampuni na wahusika halisi nk). Halafu jambo la kuhusisha maraisi wa nchi za watu pasipo ushahidi unaingilia mambo ya kidiplomasia bila kuwa na uhakika na ulisemalo!!!
 
Kweli hawalipi kodi maana hata hiyo secondary ambayo ni lowasa nyuma ya pazia iko hivyo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom