Kampuni yachomeka hapa?!

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Kupasha joto makalio.jpg

Hapa haungui kweli huyu?
 
Hakuna zaidi,
hapo ni baridi
ndio imemzidi
kiasi hadi
amegundua mbinu stadi
ya kupambana na baridi
 
Duh,jamaa kapack gari chini ya mti akaamua kufanya mambo ya kina maji marefu!!
 
Kwa taarifa yenu msitu wa pende pia hutumika kwa matambiko hasa wahindi huenda kule kila weekend kufanya matambiko.
 
Back
Top Bottom