Kampuni ya Vodacom na Siasa za Nchi

Ushauri wangu ni kwa SMZ kuwa zuia kabisa Vocadom wasi operate Znz ili iwe fundisho kwa wenye kejeli na dhihaka dhidi ya maisha ya watu.
 
Voda washawateka mpaka kwa mpesa hamwezi kuwahama ndo maana wanafanya watakavyo
 
Wana JF, Vodacom wanavuna walichotaka kwa kumteua binti makamba ashike wadhifa muhimu (critical) kama ule wa kuuunganiusha kampuni na jamii.

Hulka yake (binti) inaonyesha hana uelewa, mapenzi wala uungwana na jamii ya watanzania ambao ndio wanamlipa mshahara na marupu rupu mengi yeye na wafanayakazi wenzake na wanahisa wa vodacom. Anajali kuonekana katika luninga tu ili azidi (kwa fikra zake pottofu) kungara na kupanda chati duniani.
Kwa mbali namuonea huruma huyo bosi mpya wa Vodacom!
 
Back
Top Bottom