nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao
kweli hii ni laana
cheki mwamvita anavyotoa macho kama kafumaniwa
Wanatuonesha mapombe yao..! mungu walaani wote hawa.
Mwamvita Maropes, Kiki Malik, Zainab Janguo, Mange Kimambi Sheria Ngowi na Watoto wengine wote wa Mujini, angalieni Picha zenu mlivyopendeza na pombe zenu, alafu mfananishe na Picha za Vitoto vichanga vilivyopteza maisha yao hapo juu........Laani zote ziwaijie. Hamfui kweli wana haramu mashetani wakubwa, mafidhuli nyie. Swain wakubwa....mnywe pombe mpaka mtapike. hamfai kabisa. kiki na wewe pia umelaaniwa utakimbia kila ndoa mashetani nyie
eti wanasema taarifa rasmi wameipata saa 9.30 mchana, alafu anasema cku zilikuwa zimeisha kwa kupelika jina la mshiriki kinyanganyiro cha dunia, waaapi wiz mtupu
umeanza vizuri halafu ukageuka kuwa mnafiki. mimi nashaka wewe inawezekana unapenda sana kutembelea saloon.Siye ndani ya VODACOM tulimshauri binti makamba kwamba hii shuguli iahirishwe, lakini kutokana na ukweli kwamba yeye na marafiki zake walikuwa wanaelekea kujionyesha, basi likawa soo. huyu binti kweli amelaaniwa. cha ajabu aliachana na mzungu, baada ya kumtesa babu wa watu pamoja na kaka yake fisadi tulialikwa kwenye divorce party pale mikocheni. aibu kweli kwa mtoto wa mwislamu. mwisho wa hii familia ni mmbaya kweli. wee familia gani inachukiwa kiashi hiki? sijawahi kuona familia inayochukiwa kama familia ya makamba. pengine ni kwa sababu ya irizi wanazobeba masaa 24/7............huyu mwamvita mshirikina kweli. tunguli kila siku