Kampuni ya ujenzi(majengo & domestic house) , mambo ya ict,security systems

Mnaweza kuni inbox gharama za kufunga CCTV kwenye nyumba yangu ya kuishi ikiwa vifaa vyote ni vyangu.gharama za ufundi tu..
 
Please kwa maswali au maulizo Tuemail.email nimeiweka hapo juu, Example of projects Done ,Click link niliyokupa hapo juu,utaona baadhi ya kazi zetu tulizowahi kuzifnya.
 
kampuni za ujenzi huwa hajitangazi bali kazi ndo inawatangaza bwana acha kuwaibia watu hapa kma uko vizuri nunua tender nenda kashindane na wenzako huko hayo sio maadili ya kampuni za ujenzi
 
kampuni za ujenzi huwa hajitangazi bali kazi ndo inawatangaza bwana acha kuwaibia watu hapa kma uko vizuri nunua tender nenda kashindane na wenzako huko hayo sio maadili ya kampuni za ujenzi
e

kaka tuna warahisishia kwa wale wanaotaka kujenga majumba ya binafsi wasioweza hata kushindanisha kampndauni kwa kutangaza tenda. ushauri wako mzuri lakini umekurupuka
 
Ndugu Wadau, kwa Wale wanaotaka Kujengewa Nyumba zao ,kuweka Security camera and Access Control OR Any ICT Installation and System development.Wanaweza wakatutafuta kupitia link below. , Hata wale wanaotaka Ushauri nao wanakaribishwa. "Good service for Good price" You can Click the link below upate Contacts zetu,na Kazi zetu ambazo tumeshawahi kuzifanya.

Franswill International(T) LTD | Facebook


pia waweza kututumia email international.franswill@gmail.com

Mafundi nimeatumia email kwa anuani mliyotoa mbona hakuna majibu mpaka sasa?
Nitumieni basi kwa private email jamii forums nimeatumia tangu asubuhi hamjibu mpaka sasa?
Asante
 
Back
Top Bottom